Kuna future kweli hapa?

Kuna future kweli hapa?

Kama ni Me na unatuletea habari za BAE wa rafiki yako ni kama a bit irritating hivi??
kama weni demu huyo ni wewe!!!
Tunajadili issue mezani ya rafiki yangu sio mambo yangu binafsi mkuu.

Hakuna tatizo ukichangia mada sio kunijadili.

Karibu.
 
Umejibu kwa kupaniki mkuu.

Najua laki saba ni ya vocha.

Nilichotaka kufahamu kuna muendelezo.

Kama kumtumia ingekuwa ni siku ya kwanza tu. Ila ni takibrani miaka miwili kasoro wanakutana na kuwasiliana.
Ndio maana nikasema cku jiuchi likimkinai unakula block,kwani miaka mbili kitu gani weye ?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana nikasema cku jiuchi likimkinai unakula block,kwani miaka mbili kitu gani weye ?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Doesn't make sense at all.
 
Asikwambie mtu... hela ni mzuri kuliko mwanamke yeyote yule.
 
MIMI SIYE IN CAPITAL LETTERS.
Ni wewe Mkuu 😉 😉 😉
Kuliwa si shida mbona. N FYI - Hapo future ni ya kulana tu...so Yes there is as long as you are down with the benefits
 
Ni wewe Mkuu 😉 😉 😉
Kuliwa si shida mbona. N FYI - Hapo future ni ya kulana tu...so Yes there is as long as you are down with the benefits
Una ushahidi ni Mimi?

Hapo chini nimekuelewa ila sijakuelewa tena.
 
Mkuu mi naona waachie wenyewe ndio watakuwa ma judge kuona kama relation yao ina future au vp, who knows how they started it from the 1st place?!
Siku zote mahusiano yoyote yale yanakuwa kutokana na first impression, if your friend showed the kenyan girl that ana pesa mingi and he is willing to provide, kama niwajuavyo wadada wakenya your friend will be her Lover as well as ATM...kufaham kama kuna future au lah best ako ndio anajibu sahihi. Take it or leave it. Kama ntakuwa nimejibu vibaya utaniwia radhi
 
Naomba mimi niwe na wewe for future
 
Swali zuri.

Mimi nafikiri yapo kutokana na ushirikiano kutoka kwa mwenzie.

Je, wewe unaonaje hili suala?
Aache familia yake amuoe rafiki yako?
 
Back
Top Bottom