Kuna diploma holder kapata mkopo

Kuna diploma holder kapata mkopo

Jaman hakuna haki mana Tunabaguliw wakat nimkopo na tutarudisha
 
Vijana Tunajielewa! Lakini Hawa Wazee kuanzia 55 to 90years Ndiyo Waliotufikisha Hapa siku hile ya October 25 kumchagua Magu, halafu sisi Wajukuu Tunateseka na Vyuo...
Lakini Tutainana 2020 !!! Nitahakikisha Nafunga Kijiji Mzee Yeyote Hazingui tena... Siwezi Kukosa Elimu Kwa Ubabe Wa Watu Wachache Hata Siku moja...
 
Back
Top Bottom