Kuna Demu staki nataka

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,800
Wakuu kuna demu nimetongoza vizuri kakubali,sasa jana aliniahodi atakuja akanitajia na muda kabisa,akanijulisha yuko barabarani anasubiri gari,nikamuambia kama usafiri shida nimfuate akasema atanijulisha ikawa ndo kimya hakujibu msg wala calls mpk asbh.Leo nimemcheck kasema anakuja sasa tangu alasiri hajibu msg mara anasema yuko saloon bado kidogo nk...mpaka muda huu kimya,mara bado kidogo mara nitakuchek...mpk ninechoka.Je huyu anaeleweka kweli au mwizi tu?
 



Haki wanawake tutubu tu, maana ile adhabu ya eden naona kila siku inazidi kupamba moto.
 
Mimi Somo La Kulazimisha Jambo Shuleni Nilipata "F" Ila Wewe Inaonyesha Ulifauru Vizuri, Hongera Sana Ndugu.
 
Dawa ya watu wa namna hiyo ni kuwa na don't care attitude,kuna viumbe vikioneshwa care sana huwa vinavimba sana

Cha kufanya usimpigie wala kumtumia sms tena,kama ni kweli alikuwa interested na wewe lazima atakutafuta

Ifike mahali mjifunze kubalance shobo asee
 
Urare..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…