Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Hii ni kweli kwa 60%acha punyeto ongeza lishe utakuja kunishukuru
Kumbuka kuna kipara cha asili.
Tangia utotoni uso mpana hili halitokani na nyeto
Hii ni kweli kwa 60%acha punyeto ongeza lishe utakuja kunishukuru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa nimesikia ushauri wako mtaqlamu, mpaka sasa nimeshakubali kuwa mimi ni kipara hapa natafuta point za kuconclude ili ninyoe para tu1. Punguza hasira
2. Acha nyeto
3. Punguza mawazo.
Mwisho wa siku wewe ni kipara tu[emoji23]
Kipara cha hela huwa kikojeMkuu kuna aina 3 za vipara kuna kipara cha hela ,kipara cha uchawi ,na kipara cha elimu hapo jiulize [emoji125][emoji125][emoji125]::dawa sasa tafuta
1 mafuta ya nyonyo
2 vitunguu maji
Unaanza kusugua mahala husika na kitunguu maji kilichokatwa baada ya muda unapakaa hayo mafuta ya nyonyo hapo nywele zako zitardi tu baada ya muda
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mng'ao wake mkuu unakuwa tofauti sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipara cha hela huwa kikoje
hiki cha hela unazaliwa nacho au ukipata hela ndo kinatoka?? nitajaribu dawa hii mkuuMkuu kuna aina 3 za vipara kuna kipara cha hela ,kipara cha uchawi ,na kipara cha elimu hapo jiulize [emoji125][emoji125][emoji125]::dawa sasa tafuta