Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,546
- 4,325
Habari wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada mimi ni kijana wa miaka 25, kwa muda wa miaka miwili hivi nimekuwa na tatizo la kutoka kipara maeneo ya mbele ya kichwa, lilianza kidogo kidg mpaka muda huu inaonekana kabisa nina dalili za kuja kuwa na kipara kikubwa, nywele za mbele ni tofauti na nywele za kati kurud nyuma ambazo zinaota kawaida tu.
Kwenu wana Jf kama kweli kuna dawa, Utaalamu, au mafuta ya kuotesha nywele au kuzuia zilizopo zisiondoke? naomba msaada wa wa hizo dawa au mafuta, au mtaalamu.
Asanteni.

Dah pole kwa tatizo master