kuna dawa juu ya hili.

kuna dawa juu ya hili.

MR PSM

Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
21
Reaction score
2
jaman naomba unipe majibu kwa anayefahamu kwani na shindwa kumsaidia rafiki angu wa kike anayetaka kuachwa na mpenzi wake tatizo lake nikwamba yeye huwa hapati hamu ya kufanya mapenzi hata kidogo ,,kuna dawa juu ya hili,,,naomben kwa anayejua tumusaidie huyu mwenzetu ale nn au afanyeje?
 
Mwambie aachane naye maana hamu itakuja tu siku akiolewa wewe unafurahi sana eenh unapoona rafiki yako anatumiwa mwisho wa siku atoswe.....hata kama hamu ingekuwepo kwa huyo mpenzi wake kuachwa kupo tu,wangapi wametendwa pamoja na maujuzi kitandani...mnapenda sana kuwaridhisha hao wapenzi wakisharidhika na wakashiba wanawaacha wanaanza kutafuta wengine kama wapo wa kuwaridhisha zaidi .ogopeni zinaa mabinti.
 
jaman naomba unipe majibu kwa anayefahamu kwani na shindwa kumsaidia rafiki angu wa kike anayetaka kuachwa na mpenzi wake tatizo lake nikwamba yeye huwa hapati hamu ya kufanya mapenzi hata kidogo ,,kuna dawa juu ya hili,,,naomben kwa anayejua tumusaidie huyu mwenzetu ale nn au afanyeje?
Kidogo haieleweki. Hiyo 'yeye' inamzungumzia huyo rafiki yako wa kike au boyfriend wake? Kwa matatizo haya, hebu jaribu kumPM MziziMkavu.
 
Last edited by a moderator:
apunguze mawazo,pia kunamizizi ya kutafuna ahina nansi anachemsha na kunywa mara tatu.ukihitaji contact number 0752996663 ntakusaidia.
 
Back
Top Bottom