Kuna dalili moja tu E. Lowassa kuhamia Upinzani

Karahamagi...chenge vijisent...kapuyanga..rost tamu # team low hasa ...wadanganyika tumerogwa?
 

Lowasa ametudharau watanzania. Hawezi kutununua kama mafungu ya nyanya sokoni.uongozi haununuliwi kwa pesa. Kiongozi bora anakubalika bila kutumia ushawishi wa pesa.El hatumtaki watanzania atatuuza.kama anaona anafaa sana kuwa rais aanzishe chama chake ahame na wafuasi wake watampigia kura.hakuna mpinzani anayetaka kujiunga na fisadi lowasa.
 
Yes Lowassa atakuwa upande wa CCM hakuna mwingine.kuhusu mambo ya dini hiyo ni agenda itakayotawala kampain na haiepukiki....lakini nionavyo mimi EL anao uwezo wa kuivunja hiyo hoja kwani anakubalika pande zote.Kufanya harambee juzi ARK unakuonaje.Huyu bwana anajuwa analolifanya.sasa hivi anataka kurejesha hali ya upendo katika Imani zote nina imani ataweza.Lakini hata akipita urais anaweza kosa wabunge wengi kwani safari wabunge wa mipasho, ngonjera,kwaya,na mashairi watapigwa chini.
 
Tulipofikia tunamhitaji sana nabii wa mabadiliko..
Yule atakayeivunja vunja CCM.. Haijalishi ni malaika au laa..!!

Tukifanikiwa kuiweka CCM pembeni hata kwa miaka 5 nina uhakika nchi yetu itakuwa mbali sana...!!
 

Huwezi kuzungumza mtu ambae atasema rushwa ni adui namba moja wa watanzania....Huwezi kusema asimame aseme wote wenye tuhuma za ufisadi makao yao ni jera na kutaifishwa mali zan.....Huwezi kusema raisi atakayechuguliwa awe na uwezo wa kulazimisha kufumua katiba hii ya nyoka wa makengeza iundwe upya,... unazungumzia mambo ya UDINI vipi kwa sie ambao ni wapinga kristo na mudi tutapga kura kwa raisi yupi???.
 
Acheni kudanganyana, LOWASSA ndiye mgombea urais ajaye kupitia CCM, na ndiye RAIS wa awamu ijayo! mpaka sasa CCM ndio chama pekee kinachoweza kutupatia RAIS bora wa awamu ifuatayo!

Lizaboni njoo umsikie huyu!!
Migambo wanaruka na kukanyagana....!!
Mi simo!!
 
Last edited by a moderator:
Hata jina lake likakatwa (likely) Lowasa hawezi kuhama CCM! Amini usiamini! Wafuasi wake wanaweza kuhama lakini mwenyewe hawezi! Sababu nazijua mie!
 

Hivi ubora wa mtu upo kwenye dini?????. Tusiyape nafasi mawazo ya kipuuzi kutawala akilizetu.
 

This time tunataka mtu atakae weza kumtafuna jongoo ufisadi, rushwa, na majoka yenye makengeza.

Rais akitoka ccm bado kutakuwa na shida hatakama ataonekana ni msafii, tatizo litakuja kwenye team atakayo fanyanayo kazi itakuwa ni ileile, haina jipya.

Tunataka mtu mwenye mawazo,na mbinu mpya zitakazo tu ng'oa hapa kwenye tope la rushwa, ufisadi, kufanya kazi kwa mazoea na kujuana. Ccm wanajuana sana kwahiyo hakutakuwa na nidhamu katika uongozi kama rais atatoka kwaotena.

Ccm hawata subutu kupunguza matunizi kwa kupunguza utitiri wa viongozi, baraza kubwa la mawaziri, mikoa, wilaya, matumizi ya anasa kama magari ya kifahari kuanzia kwa wakurugenzi mpaka juu, team ccm sidhani kama wata ondoa hiimizigo.
 


Nikwambie kitu.... Kinachotakiwa ni kuisambaratisha CCM...Nduli CCM akidhoofishwa by default mambo mengi ya msingi yataboreshwa....

Msiwe tofauti na viongozi wenu wa UKAWA... Wameunganisha nguvu ili kuisambaratisha CCM kwa njia yoyote ile inayowezekana...

Na mtego upo kwa Lowassa...ateuliwe au asiteuliwe huu mwaka ndo hivo tena CCM inakufa mikononi mwa Jakaya.....
 
Lowassa hakuchukua hata senti tano ya Richmond,,, hata wabunge wanalijua hlo
 
Lowasa hafai maana uyu jama anavyotumia nguvu na pesa nyingi kushawishi watu wamkubali na akipita atajilipa sana
Na nadhan tutarud kwenye kodi ya kichwa kama enzi zilizopita.
Na namuona kama ana element kama za mkurunziza kwamba akipata uwo uraisi wenyewe hatokubali kutoka.
 
Hatutafuta Raisi wa Kanisa au Msikiti!

Ikulu ni kazi tu siyo sehemu ya Ibada.Tunataka mtu msafi na asiye fisadi na anaytetamka waziwazi na kwa vitendo kuwa Ufisadi kwangu mwiko.

umenena kweli tupu
 
kwa kweli ccm wasipo mpa nafisi kuongombea urasi siasa ya tz itakuwa ya kihistory
 
Mimi sidhani kama mawazo yako mepesi kama haya yanaweza kuwa na mantiki yoyote zaidi ya kumifariji wewe mwenyewe.
 

haya mawazo kidin ni kipunguan kabisa je waislam si bendera fuata upepo? kila mwaka lazima mhangaike ndio mana mnatumika kama dodoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…