Wakuu, kuna kijiwe huwa tunajimwaga kufuatilia EPL-mpira wa uingereza....jamaa amefunga Dish la d*tv la kipenyo cha karibu mita moja na vikolokolo vyake pia akaongeza twin LNB. halafu amenunua decoda nyingine ya Euro**star.. sasa akiunganisha hiyo decoda ya Euro**tar na dish la d**tv anapa mawimbi (anazisoma kwenye decoda hiyo) ya channels kibao zikiwemo hizo za d*stv zote na nyingine nyingi yapata 2000. Sasa akikonekti kwenye nyingi ya channel hizo hasa za d**tv na baadhi ya zile zinazopatikana kwenye visimbuzi maarufu anaambiwa " scrambled". Na hizo channels zina alama ya dola ($).
Sasa anauliza kuna namna ya kuzifungua hizo channel...au kuna uwezekano wa kuzilipia kwa pamoja...kuliko mara kulipia d**tv, Z*ku, T*ng na kwa watoa vingamuzi wengine..? maana michanneli yote ya vingamuzi hivyo anapata mawimbi yake..yaani anavisoma kwenye decoda hiyo ya Eur*******
Ni hayo wakuu, tafadhali msaada wenu utasaidia sana tuendelee kubapata uondo wa EPL kutoka kijiweni kwetu bila kikwazo