Wa Haiti wengi wao (asilimia 90 na kitu) ni Waafrika. Wa Chile wamechanganyika....kuna wenye asili ya Ulaya, Hispania (hii nayo ulaya eeh?) kuna wahindi wekundu, nk.
Kwa hiyo wewe unaamini kile ulichoambiwa huwezi kufanya? Kama ndio hivyo, basi hilo ndio kiini cha tatizo lenyewe. Badala ya kuwa na point to prove kwamba na wewe unaweza na kuwa prove watu wrong wewe unakubali tu unachoambiwa. Ukisikia ujinga ndio huo.