Pro Magufuli Wa 47
Senior Member
- Mar 5, 2016
- 188
- 58
Ripoti ya CAG imetoka, Ndio.
Ripoti imeonyesha uozo na madudu yaliokuwa yakifanyika, Ndio.
Serikali iliyopita ilikuwa chini ya CCM, Ndio.
Ndo makada wa CCM ndo walikuwa wasimamizi ambao wangeweza kuzuia ufisadi uliokuwa ukifanyika, Ndio.
Wizara ya Mheshimiwa Rais nayo imeguswa, Ndio.
LAKINI MTANZANIA UNAPASWA KUKUMBUKA/KUJUA
1-Yakuwa CCM walishakubali yakuwa walikosea pahali na baadhi ya Makada wa chama wasio na nia nzuri walitumia mianya hiyo kujinufaisha.
Level za Kisiasa Wapo walioadhibiwa, waliolimbia chama na wengine wengi wataadhibiwa tu, directly or indirectly.
Ndo sababu ikachaguliwa tena.
2- CCM walikubali kujirekebisha kwa kumteuwa mgombea ambaye atakirejesha chama na serikali kwenye misingi sahii (Dr Magufuli), na Wapo njiani kumpatia Chama.
3- Serikali inayohudumu sasa ni ya CCM mpya, na Rais Mpya na yenye nia nzuri ya kumkwamua Mtanzania.
Na hakuna sababu ya kuendelea kuiponda serikali hii kwa misingi au mambo mabovu ambayo CCM ya mababu zetu walifanya na Watanzania kwa wingi wetu tunayajua.
4- Rais kama mtendaji anawajibu wa kuwatumbua waliotufikisha hapa kwenye level ya utendaji serikalini.
Mtendaji uliopewa cheo hupaswi kudharau ethics za kazi yako ili kumfurahisha Mwanasiasa,(eti upindishe sheria ya manunuzi kisa waziri kasema) ukifanya hivyo jiandae kuadhibiwa wewe pia.
Ndicho kinachofanyika sasa
5- Tumuunge mkono Rais katika hili, sababu yanayofanyika ni kwa faida ya wote, tuacheni siasa za kimazoea, siasa za kukwamishana katika maendeleo yetu sote.
Fisadi ni kama mchawi ukimchekea utakuwa mtumwa wa kuzika.
#Hapakazitu
By Msemaji wa Wana-Msasani.