Mbona kama habari yako mkuu haija jitosheleza.ee bwana uyu mtoto wa kike katokea kunivutia zaidi ya miaka mitatu sasa kaja kunkubali july 2017 sasa naona mapenzi yamekuwa moto saivi!
idea yangu ni kumuoa, ila kutokana na shuguli yangu ya kutokukaa sehemu moja nataka niharibu na kuibadili saikolojia ya huyu binti!
Tega utegwehahaahaha kwamba na mm nategwa au
Tayari..we jiachie tu.Love is a beautiful thingahahahaa ndo nishategwa nini huku najidai natega