BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,214
Habari zenu ndugu zanguni, Sasa wakuu wale walio ishi Musoma mjini mkoa wa Mara, Kuna night club ILIKUA inaitwa metro, sa nimeingia na mwanangu, mmoja wakuitwa bivunguye, tukawa tumekaa mahala nikashangaa, mademu wanafata mzee mmoja anawapa maelekezo wanasepa mara wanarudi tena,
Sasa kwa SABABU huyu mshikaji wangu ni mtu wa hekaheka nikamuuliza mmmh mkuu hao mademu vipi mbona mzee mwenyewe mlocal alafu wanamzonga kichizi, jamaa akanitonya huyo mzee ni mganga wao ALIKUA akiwapa dawa wanakosea masharti hawapati madanga hivo kaona aingilie kati, Yani wanaloga waziwazi mkuu unaona hivi dahh.