Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,255
Wasalaam,
Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera yaani full joto siwezi kabisa.
Good enough silali na mtu (shemeji yenu tunaonana weekend tu) but am so eager to know kuna athari zozote kiafya or namna nyingine? Suala la usiku huenda itatokea emergency sijalitilia maanani hapo.
Am a gentleman so far!

Last edited by a moderator: