Anguko la JiweNi swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Humo mwenu mapunguani mko wengi sana. Watu mmewazuia kufanya shughuli za kisiasa, mnawaweka ndani hovyo !! lakini bado mnaona maluweluwe dhidi ya Cdm ?!Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichaa aka jiwe anapenda sana kitonga mdiyo maana kamweka ndani mbowe ili apate wepesi kwenye uchaguzi. Pamoja na mbowe kuwa ndani bado jiwe anaweweseka tu hata usingize hapati. Poor jiwe.Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndo.madhara ya kubemendwa utotoniNi swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief kokote uliko kamata campari bill nitumie nikulipieHumo mwenu mapunguani mko wengi sana. Watu mmewazuia kufanya shughuli za kisiasa, mnawaweka ndani hovyo !! lakini bado mnaona maluweluwe dhidi ya Cdm ?!
Mtu mwizi na mchawi hamuamini mtu yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ktk kesi ya watu 7 Mbowe na Matiko tu ndio wawe ndan?Kichaa aka jiwe anapenda sana kitonga mdiyo maana kamweka ndani mbowe ili apate wepesi kwenye uchaguzi. Pamoja na mbowe kuwa ndani bado jiwe anaweweseka tu hata usingize hapati. Poor jiwe.
Kwanini ktk kesi ya watu 7 Mbowe na Matiko tu ndio wawe ndan?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Matiko ni victim tu. Anayetafutwa ni MboweKwanini ktk kesi ya watu 7 Mbowe na Matiko tu ndio wawe ndan?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
mwambie jiwe akawaombe radhi wananchi wa kusini kawatia hasara then kajikaushaNdio ni chake na baba mkwe wake.
Mnashangaa nini kwani?
Si mnajua kupayuka payuka mkiwa wafata mikumbo..
Jijengene kivyovyote mtajiju.. 2020 mjue hamna la kuongezeka kwenu.
Kwa majibu haya kumbe ana HAKI ya kusugua huko segerea maana inaonesha wazi alikua anapimana ubavu na mamlaka.Hao ndio wameonyesha kutumuogopa jiwe baada ya kuagiza wasimamizi wa uchaguzi kuwanyima haki yao uchaguzi.
mwambie jiwe akawaombe radhi wananchi wa kusini kawatia hasara then kajikausha
Let's wait & seeNi swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu mzimu wa kupanga matokeo unawasumbua sana. Lubuva na Jecha wametuletea shida. Na waliopewa nao hawajiamini !!. Pamoja na kuzungukwa na battalion zenye kila kitu, lakini kinachowahangaisha ni Cdm mpaka wengine wanachakazwa rundo la njugu !!Chief kokote uliko kamata campari bill nitumie nikulipie
Kwa majibu haya kumbe ana HAKI ya kusugua huko segerea maana inaonesha wazi alikua anapimana ubavu na mamlaka.