Kuna anayejua hichi kitabu

Kumbe kilipigwa ban? Kwa nini?

Enzi hizo kilipigwa marufuku Tanzania...inaweza kuwa shida kukipata katika Bookshop za hapa. Kenya I am sure kitapatikana.
 
Kuna sehemu ınasomeka
i learnt that, to sleep with a man, sometimes
is not to make love but to make enemies
give yourself away to men fully
if you want to burn
they say it better to marry
than to catch flame
only that they dont say
whom to marry
an how not to catch flames
when there is no man
to marry you
yet therw is no path safe
for women
in every street you pass
in every corner
in every deal
there's a man rubbing his hand
to make your life difficult
 
Hahahaahaha pia kuna kipengere kinasomeka "........a woman is a cob of maize for everybody with teeth....."
 
Kustaafu kabla ya umri wa kustaafu ni kosa duniani na mbinguni. Preta usidanganyike.

Halafu babu ina maana haujanimisi?

Premature but voluntary retirement inakubalika kabisa na pension atapewa. Usimdanganye mwenzio!

Hilo jingine tutaliongelea next week utakapopigwa summon na Bibi!
 
Huyo hajasogelea hata maturity, ndio unaongelea pre-maturity? Hapo unamuonea kiukweli.

Hiyo summons hata sitaweka sahihi. Nimewanunia wote wewe na bibi kwa pamoja.

Poa. Kalale uongeze inchi moja. Tutawasiliana asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…