Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,721
<br>ipige tu ila ni ya tz
<br>Ya Dar mtandao wa ttcl
<br>Daresalaam
Najua ni za dar es salaam na ni mtandao wa ttcl ila ningetaka kujua hasa ni za kampuni,shirika au wizara gani.<br>00 zatia shaka
usalama wa taifa
mna uhakika ni ya kitengo?Labda ni ya kitengo.
kama ni ccm wasijisumbue maana ndoa yangu na ukawa ni ya kikristoHiyo Ni Namba Ya Ma Ccm! Yako Katika Mkakati Wa Kuomba Kura, Ila Yameshtuka Kuwa Wewe Ni Mwana Mabadiliko!
we ni msemaji wake?hizo ni namba za shetani mtoa roho na kama kakupigia jua atakutembelea leo usiku, mkuu unalo leo usiku
we ni msemaji wake?
00222235147
nimemiss hii call sasa nashindwa kupiga tena maana ni landline. sasa kama kuna anaweza niambia ni ya wapi.
Asanteni