Kuna ajenda gani ya siri kati ya mkulu na bashite?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,877
Nashindwa kuelewa kuna nini maana ni ajabu sana tena sana mtu aliyepata zero na vyeti feki anaachwa yaani inashangaza
Ni maajabu sana yaani kabisa
Kuna nini kati ya sizonje na daudi nyuma ya pazia?
Nikitafakari naanza kuwa na wasiwasi huenda yale ya mange na tanzagiza ni ya kweli
Hili jambo si la kawaida nchi hii
Huenda kuna mengi yanafichikana nafsini ila mungu atayaumbua hadharani
Nina wasiwasi na bashite sana na sizonje
Sijui mpaka najiuliza kuna ajenda gani ya siri mpaka anaachwa
Kuna kitu hapo
 
Ulishawahi kuwa na mtu wako wa karibu ukawa unamtanguliza mbele halafu ww upo nyuma,yani huonekani......yy anapiga deal halafu anakugawia mgao wako km kawaida huku akionekana km yy ndio mpiga deal au wale mashare holder anonymous au wanaotumia jina la mtu mwingine .....basi kaa utafakari
 
Nashindwa kuelewa kuna nini maana ni ajabu sana tena sana mtu aliyepata zero na vyeti feki anaachwa yaani inashangaza
Ni maajabu sana yaani kabisa
Kuna nini kati ya sizonje na daudi nyuma ya pazia?
Nikitafakari naanza kuwa na wasiwasi huenda yale ya mange na tanzagiza ni ya kweli
Hili jambo si la kawaida nchi hii
Huenda kuna mengi yanafichikana nafsini ila mungu atayaumbua hadharani
Nina wasiwasi na bashite sana na sizonje
Sijui mpaka najiuliza kuna ajenda gani ya siri mpaka anaachwa
Kuna kitu hapo
Mkuu weka hapa ushahidi
Nyie wenyewe hamna uhakika mnamtegemea Ngwajima atoe ushahidi.
Tanzania Daima hawana ushahidi mpaka wamekwenda kijijini wanapo paita Karimje kutafuta ukweli....
Yani mnataka wamchukulie hatua kwa vitu ambavyo havina uthibitisho.
 
Huo ni mkataba walioingia Kati ya bashite sizonje. bashite alimuambia sizonje kwamba yeye amejitosa kupigana vita ya madawa ya kulevya. sharti sizonje amlinde kivyovyote vile.

Japo kuwa vita aliyopigana bashite dhidi ya madawa kulevya havijazaa matunda kutokana na uelewa wake mdogo.
 
Hayo mazitooo.......mimi huko napishia mbali aseeeee......lakini lisemwalo..........napita tuuu mbiooo tenaaa
Sijakuelewa harooo! Ati wasemaje? Yaani Dauda Bashite ni kiburudisho cha Sizonje? Huu utakuwa ni uchochezi mie simo najitoa!
 
Back
Top Bottom