Kuna aina tatu za machangudoa

Daah nrushie aisee kama unayo wanayotumia fb maana hao wanakuwa quality kidogoo aisee:flypig:
Hawa hata malipo yao yako juu kwa sababu nao ni Quality, usishangae kuambiwa ameagiza gari liko Bandarini, anomba umtolee. Au anakwambia uchukue gari lake ulipeleke kwa fundi wako au analipeleka mwenyewe halafu anakwambia uongee na fundi kuhusu malipo.
 
Daaah,, yaan mke wangu cjui atazaliwa lini,, ila dawa n kutafuta sehemu ya kujihifadhi katika hizo tatu ili badae nawe yakikukuta usiumie sanaaa,,
 
Wako yuko kundi gani?
 
. Hao wa swimming Wamejaa Singida, wanapatikana Infinity Lounge. wengi wao ni wanafunzi wa vyuo fulani fulani.
 
Daaah,, yaan mke wangu cjui atazaliwa lini,, ila dawa n kutafuta sehemu ya kujihifadhi katika hizo tatu ili badae nawe yakikukuta usiumie sanaaa,,
Uzuri anatakayezaliwa naye atakuwa vivyo hivyo, kwa sababu hurithi tabia hizo toka kwa mama zao na bibi zao.
 
kweli wanawake tumeumbiwa wanaume.........kama bidhaa yetu vile....poleni.
 
hao wa namba tatu ni kweli wapo..na wengi utaona wanafanya kazi sehemu nzurii...tuu. ila ndo hvyo unakua unawapiga taratibu taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…