Kuna wale wanaopenda kutega sehemu fulani fulani hivi.
Malls, Cinema, Hotels, Lounge...
Ukiwaona wa gharama kuanzia nywele hadi kucha, wengi wao wasomi.
Waongo balaa, hawana kazi wala biashara inayojulikana ila wanaishi maisha ya juu.
Miili yao inawalipa.