M mzee wa chabo Member Joined Oct 24, 2016 Posts 64 Reaction score 65 Nov 2, 2016 #1 Naomba mnisaidie kujibu swali husika; (a) Mvua za masika, mvua za vuli, mvua za upepo. (b) Mvua za myuko, mvua za milimani, mvua za mseto. (c) Mvua za hapa na pale, mvua za mjini, mvua za mawe.
Naomba mnisaidie kujibu swali husika; (a) Mvua za masika, mvua za vuli, mvua za upepo. (b) Mvua za myuko, mvua za milimani, mvua za mseto. (c) Mvua za hapa na pale, mvua za mjini, mvua za mawe.
N NJALI JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 1,534 Reaction score 1,092 Nov 2, 2016 #2 Huenda b likawa jawabu mubashara na mujarabu. Mimi najua kwa kisungu 1.Convectional rains 2.Orographic Rains Cyclonic Rains Sasa kwa kiswahili sijui tafasiri yake.
Huenda b likawa jawabu mubashara na mujarabu. Mimi najua kwa kisungu 1.Convectional rains 2.Orographic Rains Cyclonic Rains Sasa kwa kiswahili sijui tafasiri yake.