Kuna aina mbili za wanaume

Ukiona unapendwa sana......jua una nyota ya ukimwi........
 
na mimi mmenisahau....
mimi natongoza nakubaliwa lakini papuchi sipewi...je nipo group gani..mie...???...
 
Wanaume muwe na huruma mdada akikutongoza usimkatalie,ndio maana wanawake wengi hushindwa kumwambia me kuwa anampenda kwa kuhofia kukataliwa
 
Kutongozwa na mwanamke raha ww asa ukiwa unajifanya hutaki bas bichwa hilooo
 
Kund la tatu ni wale madomo zege... hawatongozi na wala hawatongozwi... hawa tunawaita WAGUMU CLASSIC
najihic nimo kweny hili kundi namba 3....TEAM WAGUMU CLASICc mko poa... popote mlipo hebu piga keleleeeeeee oyooooooooo
 
 
Last edited by a moderator:
grupu la wenye gundu.kutoa gundu hilo ni hadi ukalale makaburini kwa siku 7

Twende basi ukanipe kampani huko makaburini....siku saba nyingi sana nitakuwa mpwekee
mamitooooooo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…