Kuna aina mbili za wanaume

Kundi lipi hilo. Au la wale hata wakitongoza hawakubaliwi kwa wepesi. Au ni lipi.

hawa hawatongozi wala hawatongozwi,utamuona anajishughulisha tu ila asemi chochote
 
sasa unao wote wawili kwa sasa au mchumba kakuacha?

Ahhhha hapa tunaongelea aina mbili za wanaume sio masuala ya kuachana....hakuna alieniacha hata mmoja na hapo mhusika mkuu n.mmoja tu
 
Hii mada imekaa kimtego mtego hasa hasa kwa #TeamB kaa nayo mbali hii kitu msije mkatoa siri za chama bure....!!
 
Hii mada imekaa kimtego mtego hasa hasa kwa #TeamB kaa nayo mbali hii kitu msije mkatoa siri za chama bure....!!

Kundi la tatu mbona mumeliacha eye deal. Kundi hili ni la watu wa ishara tu hawatongozi wala hawatongozwi. Wao ishara moja washakusoma kila kitu kwa simu tu.
Hawa hupenda sana kukaa katika vibaraza vya mageto yao yaani mkonyezo mmoja kwa ishara moja inatosha demu kuenda kupenya mlango wa uani nae anapita mlango wa mbele hao mziki chumbani tena kimyaaaaa kimyaaaa hahaaaaha
 

kama wew? baba umetudanganyaaaa
 

hahahaaaaaa namba 4 uko higher sijui umejipaishaje
 
sasa mbona umeruhusu wanawake tu ndo wafunguke??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…