Bwii89
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 1,001
- 1,025
Wadau nimeona mahusiano mengi/ndoa nyingi husambaratika kuvunjika mara baada tu ya kupata watoto wawili au zaidi? Na Mara nyingi wazazi wa upande wa kikeni hung'ang'ania watoto ambapo ki uhalisia hawana uwezo wa kuwalea na kuwapatia mahitaji muhimu!
Nini chanzo? Viburi vya wenzi wetu au!
NB: Mimi ni me!
Nini chanzo? Viburi vya wenzi wetu au!
NB: Mimi ni me!