Kumuonea Huruma Msichana

Yaani mwanaume akinichoka mm hua namkinai kabisaaa....halafu baada ya muda hurudi kuomba msamaha tuwe pamoja tena.
Huwa nawaambia hapa sio round about nina mtu wangu.
Tena unamkinai kabla ya yeye kukuchoka
 
nahis kinachochosha ni virungu mkizoeana sana anataka akutawale hadi kukupangia matumiz na anaweza kukuongezea jukumu ambalo si lako hapo ndo unamchoka
 
Yaani mwanaume akinichoka mm hua namkinai kabisaaa....halafu baada ya muda hurudi kuomba msamaha tuwe pamoja tena.
Huwa nawaambia hapa sio round about nina mtu wangu.
Usiombe kuchokwa na mimi, utaomba poo
 
Mawazo ya mitoto iliyobalehe juzi utaijua tu
 
ukiwaambia hawachelewi kutangaza una kibamia cha msingi ni kuwapa sweet death tu mpaka mwenyewe atoke baruti,siwezi kudumu na mwanamke sijui ni ujana au ugonjwa huu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…