Yaani mwanaume akinichoka mm hua namkinai kabisaaa....halafu baada ya muda hurudi kuomba msamaha tuwe pamoja tena.
Huwa nawaambia hapa sio round about nina mtu wangu.
Napenda vizur lkn huwezi ukanionyesha dharau halaf mm niendelee kukung'aninia hata siku, labda uwe unakojoa vipande vya dhahabuHujakutaa uliempendaa wew...
Mi papuchi naiheshimu sana huwa sizichoki napumzika tu kidogoYaah unakutaa ushamlaa pia mambo flani mnazinguana sanaa...!! Vitu vidogo tu ugomvi...
Usicheke ndo nilivyo hvyo