Kumuhamisha mwanafunzi wa form one

Kumuhamisha mwanafunzi wa form one

Tafuta shule yenye nafasi waambie wamtengee nafasi halafu nenda shule aliyochaguliwa uwaombe wamhamishie hiyo shule (prem # ipo kwenye matokeo ya darasa la 7)
 
UTARATIBU ULIIOMBA NI WA KUMWAMISHA MTOTO LAKINI KWA KUWA BADO HAJAAZA SHULE UTARIBU NI KUMBADILISHIA SHULE
NAMNA YA KUONBA KUBADILISHA SHULE
Andika barua kwa katibu tawala wa mkoa alikopangiwa mwanafunzi ukimtaarifu kwamba unataka kumbadilishia shule mwanao kwenda mkoa mwingine kwa sababu ........
Then katibu tawala atamwandikia barua katibu tawala wa mkoa unaotaka kumbadilishia mwanao ikimtaarifu kwamba ampokee mtoto na kumpangia shule wakati taratibu za kumwamisha kwa mfumo zikisubiri
Utapokea hiyo barua utaipeleka sehemu husika na utawaomba shule unayotaka.

Huu ndo utaratibu wa kumbadilishia mwanafunzi shule aliyopangiwa.
 
Back
Top Bottom