Kumuangalia vyema mtoto wako

Mi nipo fit kwa wasionijua nikiwaambia nina mtoto wanakataa.naupenda mwili wangu napenda kuonekana mrembo na kitu kinachochangia kuwa na mwili stable ni kutotumia contraceptives napenda niendelee kuwa yummy mumy
 
Last edited by a moderator:
We kabila gani vile!ok nimekumbuka,naomba nikuulize kaswali ka1,hv ni umri gani ambapo mwanamke anakua fundi sana pale taifa?
 
Ni PM picha yako plz!maana una ka age kama ka mwandani wangu lol.
 
We kabila gani vile!ok nimekumbuka,naomba nikuulize kaswali ka1,hv ni umri gani ambapo mwanamke anakua fundi sana pale taifa?

ufundi wa kwenye game hautegemei umri ingawa uzoefu wa kumsoma na kumjua mwenzio huwa unaongezeka kila siku.na ufundi unategemea zaid na ubunifu wa nyie wawili.
 
Hahahahahaha.......yani unampeperusha ndege wangu hv hv?

hapa ndege hanaswi mwambie wifi aache kubugia misosi ya uzazi hovyo mazoezi muhimu aangalie hilo tumbo lisije kuwa kama la ng'ombe mi nilitaadharishwa na shemeji yako mapema acha kujiachia kwa kweli sina presha na mwili wangu
 
maneno kuntu hayo @secretary lolz! na hivi tumbo la uzazi lilivyo na njaa basi akijiendekeza tu kwisha habari yake. mpige kwa matunda na maziwa kwa wingi kuliko manyama na maugali au mitori yenu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…