Duuh alikuwa anawahisha ndoaa...Wanawake wanapenda sana ila wanakuaga na vijitabia fulan hv ambavyo unakuta sisi wanaume tunaona kabisa kua hafai kua mke japo ana upendo wa kweli...Mfano mpenz wangu niliemuacha juzkat yy alikua na mapenz ya dhati kabisaa tatzo lake ni tabia ya kuniharakisha kumuoa na kunipigia simu kila saa...ayo mambo nilikua nachukia sna na nilijitahid kumueleza lakini akashindwa kuyazuia
Katika mahusiano kuna vioja vingi lakini sometimes Wanaume huwa tunafake Sana Love ili mradi Upate kuridhisha mwili wako... unatumia kila gharama,Kilaa Mbinuu,Kila Uongoo kumrubuni mtoto wa watu kumbe umetamani tu Shape yake....Chura ulilee usepee! Kimbembe kinakuja ushamfunua na Binti wa watu Kazama kweli aisee unajitahdi Kufake na kupretend unampenda kumbe Humfeel hata kidogooo yani Sasa usiombe adake Mimba weee.....[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Iliwahi nitokea aisee Japo nlilimuacha lakini Hadi Kesho najihukumu maana alinipenda kweli..!
Je ushawahi kupretend kwenye mapenzi...mwisho wa siku ilikuwaje???View attachment 882093
ndo yeye mkuu. kawa mheshimiwa saivi anazikimbia picha zake.Mbona sura yake inafanana naya yule wa wilaya ya.....
ndo yeye mkuu. kawa mheshimiwa saivi anazikimbia picha zake.
Wanawake wanapenda sana ila wanakuaga na vijitabia fulan hv ambavyo unakuta sisi wanaume tunaona kabisa kua hafai kua mke japo ana upendo wa kweli...Mfano mpenz wangu niliemuacha juzkat yy alikua na mapenz ya dhati kabisaa tatzo lake ni tabia ya kuniharakisha kumuoa na kunipigia simu kila saa...ayo mambo nilikua nachukia sna na nilijitahid kumueleza lakini akashindwa kuyazuia
Mkuu hauko makini kabisa, hizo ndo sababu ukampiga chini?Wanawake wanapenda sana ila wanakuaga na vijitabia fulan hv ambavyo unakuta sisi wanaume tunaona kabisa kua hafai kua mke japo ana upendo wa kweli...Mfano mpenz wangu niliemuacha juzkat yy alikua na mapenz ya dhati kabisaa tatzo lake ni tabia ya kuniharakisha kumuoa na kunipigia simu kila saa...ayo mambo nilikua nachukia sna na nilijitahid kumueleza lakini akashindwa kuyazuia
Hizo tabia alizosema zinafanya kazi sana, tabia hizo kwa ujumla humaanisha mwanamke hajiamini na ana matarajio yaliyovuka reality.Mkuu hauko makini kabisa, hizo ndo sababu ukampiga chini?
Hapana mkuu,binti mwenyewe ni Khantwe!Huyo kwa picha ndiye binti mwenyewe?