Nawe unaamini si za serikali,kumbe tra wanakimbizana na waliopata ili iweje? Too late mwizi na aliyefanikisha wizi wote ni wahalifu tu,wakati anapitisha makaratasi ili swahiba yake atuibie alikagua uhalali wa kampuni anayoipigia debe???Faida ya kuitwa professor iko wapi???wacha akajifunze watanzania wa sasa sio wale wa NDIYO MZEE!!!!

Katika ujinga mkubwa sana kwa watanzania ambao tumeufanya kipindi hiki cha mwisho cha utawala wa JK ni kumtosa Prof. MUHONGO. Huyu mtu amekuwa ingini ya maendeleo ya sector ya nishati nchini kwa asilimia kubwa sana. Amejitahidi sana kuweka sawa masuala ya nguzo za tz kutoka South Africa na pia amefanikiwa kushusha gharama za conne tion majumbani. Hatujaongelea mkakati wa gas na miradi mingi sana kuanzia kiwira mpaka mchuchuma.
Watanzania tumezoea kushikwa shikwa na ujinga jinga ikafikia sehemu tukawa wajinga sana na kushawishi system kumtoa! Lazima Mungu, ama katuroga au katulaani mpaka vichwa haviwazi tena.
Mwenyezi Mungu mpe amani Prof.
hakuna pengo lisilozibika kijana alikuwa anatekeleza tu miradi ilishaandaliwa na wenzie pia ni pesa za wahisani hizo
ripot ya pac wanakwambia toka awe waziri wa hiyo wizara deni la tanesco limeongezeka mara 3 yake na linakuwa kwa kasi ya ajabu ina maana matumiz yamekuwa makubwa hakafu hadi raisi akaamiru wizara ya nishat na madin kila mwwz ipeww bilion mbilo za ziada wakat wizara zingine bajet zao ni mgogoro leo unatwambia mungu katuroga kweli mingu unamhusisha ktk uchafu huu wa escrow hata kama una mapenz na muhongo yamezid.
Yalingezeka kwa kuwa alikuwa aafanya kazi. Hayakuakiwa kupungua.
hata sijakuelewa hapo nimetoka kapa