Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
Usilolijua ni kama usiku giza nene pole sana kama umeumia jifunze kutafiti ukweli jambo husika kabla ya kuropoka na kuwaita watanzania wajinga mm nadhani wewe ndiyo mbumbumbu usie jua kitu
Me mwenyewe nilishindwa kuweka umeme nguzo 1 ilikuwa 1 m and above baada ya mhongo kuingia madarakani nimeweka kwa laki 1 na 76 Elfu tu jamani kumuondoa muhungo imeniuma kweli taswira ya maendelea ya Wizara ya nishati na madini katika kuchochea maendeleo ya nchi ilikuwa imeshaanza kuonekana Muhongo watanzania wakukumbuka. Halafu Rais wetu nae kakosa maamuzi kwa nini kila jambo unaloaambiwa ni ndio tu. Huwezi kutimiza matakwa ya kila mtu ktk jamii but wengi wape wachache wasikilize Muhongo hakika alikuwa ni waziri wa karne.

Tatizo la nchi hii badala ya kujenga na kuhimarisha taasisi tunatengeneza miungu watu, eti wakitoka na taasisi zinakufa.
Huu ni ujinga na upuuzi wa kiwango cha juu na ndio mkwamo wa nchi hii kusonga mbele unapoanzia.
Watu wamekazana kujenga majina yao kuliko kuimarisha taasisi wazozisimamia, ukiangalia utendaji wa Magufuri, Mwakyembe, Muhongo si wakitaasisi, ni wakibinafsi zaidi maana wakitoka mapungufu na utendaji wa taasisi hizo uonekana dhahiri na kuporomoka ghafla.
Watanzania tunapaswa kubadilika, a strong taasisi ni kama katiba bora na imara, it will last forever.
suala la kuwajbka lkfka haliangalii ulfanya nn,wap na ln,halafu tunategemea viongoz kufanya vzr ktk uongoz kila cku na kukosea liwe jambo ambalo c la kawaida.cku hz n knyume kukosea kwa viongoz n kawaida na kuperfom vzr c jambo la kawaida.HT KAMA AMEFANY MAZUR MENG LKN AKALITIA TAIFA HASARA LAZMA AWAJBSHWE HVY KUJIUZULU KWAKE N SAWA ILI KULNDA MAADIL YA VIONGOZ NA MATUMAIN YA WANANCH DHID YAO.
Hakuna popote pale inaonesha kuwa zile pesa ni za umma ndiyo ukweli ulivyo muhongo aliziba mianya ya mafisadi ndiyo chanzo cha kuandamwa.Muhongo hajakosea sehemu yoyote katika hili sakati. Aliomba ushauri wa mwanasheria mkuu na wizara ya fedha. Akaambiwa fedha si za serikali. Siku zote amesimamia hapo hapo
Hakuna popote pale inaonesha kuwa zile pesa ni za umma ndiyo ukweli ulivyo muhongo aliziba mianya ya mafisadi ndiyo chanzo cha kuandamwa.
Kila jambo huwa lina mwanzilishi na mwendelezaji. Muhongo alivunja vunja ukiritimba na mfumo wa kihuni wa uendeshaji sector ya nishati nchini. Sector hii imekuwa kero na chanzo cha matatizo makubwa ya nishati nchini. Kama walivyo Stalin, Mao, Castro, Muhongo alijitahidi kuweka sawa mfumo ambao wewe na wengine tungelazimika kuufuata. No wonder wajinga wakafanya party waliposikia kang'olewa. Wanaamini wataanza tena kuuza mafuta ya umeme 5000 kwa litre na gnerators zao.
Si kama unavyosema hapo juu.
Muhongo hajakosea sehemu yoyote katika hili sakati. Aliomba ushauri wa mwanasheria mkuu na wizara ya fedha. Akaambiwa fedha si za serikali. Siku zote amesimamia hapo hapo
Hakuna popote pale inaonesha kuwa zile pesa ni za umma ndiyo ukweli ulivyo muhongo aliziba mianya ya mafisadi ndiyo chanzo cha kuandamwa.