Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
mkuu hiyo ni imagination utawezaje kutoa nyoka kwa maneno zaidi kamwulize mzee mmoja hivi anaitwa chenga huwa anacheza na majoka atakusaidia kujua nanma anavyo ya toa.Wadau, naombeni kujuzwa hapa. Kuna ule usemi unaosema maneno matam ya kumtoa nyoka pangoni!
Je ni maneno gani yanaweza kuwa matam kiasi cha kumtoa nyoka pangoni?
Je huyo nyoka anayezungumziwa ni huyu huyu tunayemfahamu au ni yule anayekaa ndani ya trouser?
Naombeni mawazo yenu....
Job km kawa .ila tunataka maneno ya kumtoa nyoka pangoni
Yah......yapo hayo maneno......ambayo ni haya........