Kumteua mtu kuwa balozi, kumtengua na kumfikisha Mahakamani, idara inayofanya VETTING, na kushauri uteue ijitafakari

Kuna mawili:

1. Vetting inaweza kuwa inafanyika.....lakini inaheshimiwa na anayefanya maamuzi?

2. Au labda zinafanyika wakati maamuzi ya uteuzi yameshafanyika? Na hivyo kufanya kazi ya wanao vet kutafuta namna ya Ku support maamuzi ambayo tayari yameshafanywa?

Hivi balozi wetu wa Canada keshafikishwa kwa pilato? Kwa makosa gani?
 
Kitendo cha Rais,kuteau,kutengua na kumfikisha mteuliwa na mtenguliwa mahakani, maoni yangu naomba idara inayousik na kufanya Vetting na pia kumshauri Rais ateue,atengue ijitafakari kiutendaji!

Naomba uzi huu uambatanishwe na ule ambao niliwai kumuuliza Rais alikuwa amefanya vetting mpaka akamteua mtu fulani kuwa mteule?

Naomba kuwasilisha.
Kwani hiyo idarani huwa inaingia mpaka mioyoni mwa wateuliwa ili kujua kama ana dhamira ya kweli au mpigaji?
 
Kitendo cha Rais,kuteau,kutengua na kumfikisha mteuliwa na mtenguliwa mahakani, maoni yangu naomba idara inayousik na kufanya Vetting na pia kumshauri Rais ateue,atengue ijitafakari kiutendaji!

Naomba uzi huu uambatanishwe na ule ambao niliwai kumuuliza Rais alikuwa amefanya vetting mpaka akamteua mtu fulani kuwa mteule?

Naomba kuwasilisha.
Vetting ya nini wakati wateule wote wanatoka kanda maalum
 
Kitendo cha Rais,kuteau,kutengua na kumfikisha mteuliwa na mtenguliwa mahakani, maoni yangu naomba idara inayousik na kufanya Vetting na pia kumshauri Rais ateue,atengue ijitafakari kiutendaji!

Naomba uzi huu uambatanishwe na ule ambao niliwai kumuuliza Rais alikuwa amefanya vetting mpaka akamteua mtu fulani kuwa mteule?

Naomba kuwasilisha.
Katika mabalozi wateule ambao ni wachafu kuliko wote ni yule Dr. wa nssf
 
hakuna vetting sasa hivi, ili upate uteuzi unatakiwa kufanya kati ya mambo yafuatayo
  1. uwe na kadi ya ccm
  2. umsifie chief janga kila mara
  3. unyanyase wapinzani
  4. uwatukane wapiinzani hasa chadema/mbowe
Hiyo vetting inatafuta malaika? Wstu wamekuwa wajinga sana siku hizi, wanauliza urojo tu! Mke ambaye mnatafuta miaka na kwenda nae kanisani/msikitini anabadilika na unamuacha, ndo ije kuwa nafasi za uteuzi!
 
Ushamba na uzwazwa vimewajaa watz. Do you real know what it means by vetting!!
 
Hiyo vetting inatafuta malaika? Wstu wamekuwa wajinga sana siku hizi, wanauliza urojo tu! Mke ambaye mnatafuta miaka na kwenda nae kanisani/msikitini anabadilika na unamuacha, ndo ije kuwa nafasi za uteuzi!
Akili zako ni mbovu! Kbla ya kuoa unatakiwa uchunguze na upate historia ya unae taka kumuoa! Sio huoe ndo uchunguze
 
Mimi nafikiri vetting inafanyika sana. Anayeifanya ni yule anakesha na mafail nyumbani na baada ya hapo anaamua naji awe nani. Anafanya vetting peke yake!
 
Mkuu hao high profile wanaotumbuliwa na Trump kila siku unawasemaje? A human being remains unpredictable!
Ukumbuke wengi wanaotumbuliwa na Trump ni wateule wa Obama ama wameelekea kuungana na demokrat kupinga Sera zake
 
Back
Top Bottom