Kumteua mtu kuwa balozi, kumtengua na kumfikisha Mahakamani, idara inayofanya VETTING, na kushauri uteue ijitafakari

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kitendo cha Rais,kuteau,kutengua na kumfikisha mteuliwa na mtenguliwa mahakani, maoni yangu naomba idara inayousik na kufanya Vetting na pia kumshauri Rais ateue,atengue ijitafakari kiutendaji!

Naomba uzi huu uambatanishwe na ule ambao niliwai kumuuliza Rais alikuwa amefanya vetting mpaka akamteua mtu fulani kuwa mteule?

Naomba kuwasilisha.
 
Mkuu hao high profile wanaotumbuliwa na Trump kila siku unawasemaje? A human being remains unpredictable!

Kitendo cha Rais,kuteau,kutengua na kumfikisha mteuliwa na mtenguliwa mahakani, maoni yangu naomba idara inayousik na kufanya Vetting na pia kumshauri Rais ateue,atengue ijitafakari kiutendaji!

Naomba uzi huu uambatanishwe na ule ambao niliwai kumuuliza Rais alikuwa amefanya vetting mpaka akamteua mtu fulani kuwa mteule?

Naomba kuwasilisha.
 
Adui wa Tanzania ni wawili tu, Nec na katiba ya mwaka 1977 ya chama kimoja.

Tuache yote tupambane na maadui hawa wawili tukishinda vita hii ndio mwisho wa upuuzi wote huu.

Wa tatu ni ccm
JANGA.jpg
 
Rais Magu mwenyewe aliwahisema kuwa aliwatuma vijana wake kuhusu mataka mkuu wa mkoa wa simiyu wakamwambia mataka hafai hata kuwa DC kumbe sasa ndiye mkuu wa mkoa bora kabisa. hiyo vetting sasa kumbe kweli ni betting !!!
 
Umeeleza kama mzaha lakini ujumbe ni mzito. Kwambà rais kwa kupuuza ushauri aliteua kwa kubahatisha.
 
Kitendo cha Rais,kuteau,kutengua na kumfikisha mteuliwa na mtenguliwa mahakani, maoni yangu naomba idara inayousik na kufanya Vetting na pia kumshauri Rais ateue,atengue ijitafakari kiutendaji!

Naomba uzi huu uambatanishwe na ule ambao niliwai kumuuliza Rais alikuwa amefanya vetting mpaka akamteua mtu fulani kuwa mteule?

Naomba kuwasilisha.

Nani kapelekwa mahakamani?
 
Back
Top Bottom