Kumtesa mtu yuko uchi huku unamrekodi video ni unyama mkubwa

Ukijenga nyumba nzuri na gari Nyerere anakuja. Umevipata wapi? Unafungwa jela na mali zako zinafirisiwa.
Wote walitakiwa wawe masikini. Hao wazee wa kukaa kwenye urais miaka 24+ kisa tu wewe ulihusika kuipigania nchi yako kupata uhuru ni zaidi ya Wakoloni.
LISSU ALIPOMLAUNU NYERERE SIKUMWELEWA,SASA NAMLAANI KULIKO LISSU
 
Ugaidi unaujua au unausikia tu? Mbowe anaweza kufanya ugaidi? Baada ya kushindwa kumuua Lissu naona hasira wameamishia kwa Mbowe.
Unaufadhili ugaidi kwa laki 5? Utakuwa ulimaliza form 4 halafu ukafeli
Unafikiri mtuhumiwa wa ugaidi anahojiwa kwa kubembelezwa? Nyie vipi Nyie haya mambo mnayaelewa kweli au mnaleta tu huruma za kipuuzi kwenywe usalama wa nchi.
 
Hao mapolisi wanaotesa watanzania wenzetu hatutawapumzisha kamwe unyama mlioufanya kwa watu wasio na hatia mtajibu.

Komando Lingwenya alisema aliteswa mateso makali akiwa uchi wa mnyama huku wakimrekodi video kwa simu.

Mdude alisema hivyo hivyo eti ata wanawake wanavuliwa nguo na hao mapolisi wanateswa na kurekodiwa juu,, Mdude anasema Kuna mdada mmoja alikuwa chumba Cha pili kutoka alichokuwa mdude,, unaambiwa alivyokuwa analia kwa kuteswa hajui walikuwa wanamtesa na nini.

Halafu unavuliwa nguo Kama ni mwanaume anakuja askari wa kike anaupiga uume wako halafu anakuambia simamisha, what a humiliation .

Wanawake wanaoteswa vituoni wanavuliwa nguo na kuteswa uchi( sio maneno yangu ni ushuuda wa Mdude, Lingwenya na Adomo)

Mlaaniwe nyie Askari mnaodhalilisha watanzania wenzetu,, lakini pia mbalikiwe Askari mnaotenda haki.

Hawa wanafanya hivi chini ya baraka za wakuu wao. Kwa kesi hii mkubwa ni Hangaya. Ndiye anayewaacha kuendeleza hili libeneke.

Tuanze na hawa tuliotajiwa kwa kuwaburuza na kuwasuka suka mahakamani.
 
Hivi hao makomando wameweza kuonyesha alama za mavidonda na maumivu au udhibitisho wa drs kuwa wameumizwa kwa namna yeyote ile?
Wewe unatetea nini bro...unajua hata kama una mapenzi na kitu flani hebu jaribu kidogo kuwa na roho ya ubinadamu kwa mwanadamu mwenzio
 
hii nchi ni ya kikatili sana, CCM na magenge yake Policcm, Tissccm, Jwtzccm, ni makatili wakupitiliza
 
Hii nchi kwa sasa ipo kwenye danger zone.
Hawa viongozi wasipoamka kitanuka (bold my words)
Yaan polisi anamtesa KOMANDO!!!!
 
Ukijenga nyumba nzuri na gari Nyerere anakuja. Umevipata wapi? Unafungwa jela na mali zako zinafirisiwa.
Wote walitakiwa wawe masikini. Hao wazee wa kukaa kwenye urais miaka 24+ kisa tu wewe ulihusika kuipigania nchi yako kupata uhuru ni zaidi ya Wakoloni.
Na ndio hiki kinacho sumbua Sana Zanzibar..
Mtoto wa marehemu.. ... ..

Matokeo kuna matabaka...chuki..dharau nk
 
Wanachosahau ni kwamba siku wakiingia matatizoni, wanabaki peke yao.

Wamuulize Bageni na kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini.
 
Ombeni sana waisilamu waliongoze taifa hili all years wala hamutasikia mateso/unyanyasaji na ushenzi wa aina yoyote.

Huyo alielazwa na kupigwa korodani dah imeniuma sana mazee,,,,,kuna viumbe hawana hofu na Mungu, wapo wapo tu duniani ilimradi wanaishi.
 
Back
Top Bottom