Kumtesa mtu yuko uchi huku unamrekodi video ni unyama mkubwa

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,203
3,008
Hao mapolisi wanaotesa watanzania wenzetu hatutawapumzisha kamwe unyama mlioufanya kwa watu wasio na hatia mtajibu.

Komando Lingwenya alisema aliteswa mateso makali akiwa uchi wa mnyama huku wakimrekodi video kwa simu.

Mdude alisema hivyo hivyo eti ata wanawake wanavuliwa nguo na hao mapolisi wanateswa na kurekodiwa juu,, Mdude anasema Kuna mdada mmoja alikuwa chumba Cha pili kutoka alichokuwa mdude,, unaambiwa alivyokuwa analia kwa kuteswa hajui walikuwa wanamtesa na nini.

Halafu unavuliwa nguo Kama ni mwanaume anakuja askari wa kike anaupiga uume wako halafu anakuambia simamisha, what a humiliation .

Wanawake wanaoteswa vituoni wanavuliwa nguo na kuteswa uchi( sio maneno yangu ni ushuuda wa Mdude, Lingwenya na Adomo)

Mlaaniwe nyie Askari mnaodhalilisha watanzania wenzetu,, lakini pia mbalikiwe Askari mnaotenda haki.
 
Uzuri wake wameshaanza kujulikana kwa uwazi kabisa. Bila kusahau kuwa wanafamilia na wao wenyewe wako so open. Kama haki haipatikani hata mahakamani basi itapatikana mtaani.
Kina Hamza na wenye weredi watapatikana wengi tu against polisi this time.
Sitamani yatokee yale ya baada ya uchaguzi wa 2000 wazanzibari kuvamia nyumba za polisi na kuwachinja mmoja mmoja!!
 
Hao mapolisi wanaotesa watanzania wenzetu hatutawapumzisha kamwe unyama mlioufanya kwa watu wasio na hatia mtajibu.

Komando Lingwenya alisema aliteswa mateso makali akiwa uchi wa mnyama huku wakimrekodi video kwa simu.

Mdude alisema hivyo hivyo eti ata wanawake wanavuliwa nguo na hao mapolisi wanateswa na kurekodiwa juu,, Mdude anasema Kuna mdada mmoja alikuwa chumba Cha pili kutoka alichokuwa mdude,, unaambiwa alivyokuwa analia kwa kuteswa hajui walikuwa wanamtesa na nini.

Halafu unavuliwa nguo Kama ni mwanaume anakuja askari wa kike anaupiga uume wako halafu anakuambia simamisha, what a humiliation .

Wanawake wanaoteswa vituoni wanavuliwa nguo na kuteswa uchi( sio maneno yangu ni ushuuda wa Mdude, Lingwenya na Adomo)

Mlaaniwe nyie Askari mnaodhalilisha watanzania wenzetu,, lakini pia mbalikiwe Askari mnaotenda haki.
Kama ni kweli Hao askari watavuna walichopanda.Machozi ya haki huwa hayaendi bure.Watu wa Hai kilimanjaro watakuwa wamenielewa kwa kinachoendelea kwa Sabaya.
 
Ukiyajua wafanyayo wavaa khaki, huwezi elewa kazi yao ya msingi ni ULINZI wa raia na MALI zake. Mtu halindwi akiwa uraiani ila ni salama zaidi akiwa uraiani kuliko kituoni.

Na ukitaka kujua akili zao ni mtindi, vituo vyote havina hata kakabati tu kakuwekea mafaili, achilia mbali vistuli vya kuunga unga wanavyotumia kukalia.

Hapa wala usiseme eti serikali inapaswa kufanya, rushwa zote wanazochukua wanashindwa kununua hata viti vya 800,000 kwa kimoja mara 10 kwa mwaka?

Sasa askari anakalia mbao au viti vya plastic vya bar, mahabusu itakuaje?
 
Walaaniwe watesaji hawa(mbwa kabisa)naamini wapo askari wenye ubinadamu na ndio maana wamevujisha unyama huu wakina kingai,mahita,goodruck,Jumanne na watesaji wote yalaaniwe matumbo ya mama zenu yaliyowazaa!!

mbona adhabu ya kawaida tu hii!!!

hata wanajeshi ukitupa makopo kwenye kambi zao wanakupa kama hii.
 
Ukiyajua wafanyayo wavaa khaki, huwezi elewa kazi yao ya msingi ni ULINZI wa raia na MALI zake. Mtu halindwi akiwa uraiani ila ni salama zaidi akiwa uraiani kuliko kituoni.

Na ukitaka kujua akili zao ni mtindi, vituo vyote havina hata kakabati tu kakuwekea mafaili, achilia mbali vistuli vya kuunga unga wanavyotumia kukalia.

Hapa wala usiseme eti serikali inapaswa kufanya, rushwa zote wanazochukua wanashindwa kununua hata viti vya 800,000 kwa kimoja mara 10 kwa mwaka?

Sasa askari anakalia mbao au viti vya plastic vya bar, mahabusu itakuaje?

ile ni sehemu ya matatizo,hupelekwi na starehe pale,lazima pakae kijua kali jua kali.
 
Back
Top Bottom