johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,408
Kwanza tukubaliane, kimsingi serikali popote pale duniani haiwezi kumteka raia wake, ni ama itamkamata au itamuweka kizuizini.
Ila kuna viongozi wadogowadogo hapa "ulimwenguni" ambao huweza kusumbua watu kama dalili ya kuonyesha nguvu binafsi, maana nguvu ya serikali hakuna asiyeijua.So kwingineko duniani na kwa baadhi ya tawala za kimila hapa Tanzania ni dhambi mtu muoga kuteuliwa uongozi.
Kumteka mtu kimwili/kifikra maana yake umeshindwa kupambana naye kimwili au kihoja.Na utekaji ni silaha muhimu inayotumiwa na wachawi, yaani kuroga maana yake ni kuteka nguvu na akili zako!Tupige vita utekaji wa aina zote kwa kujijengea ujasiri, ahsanteni.