Kuyafurahia Mafanikio ya mtu wala sijawahi kufikiria kuwa ni dhambi au kosa! Kumfurahia mswahili mwenzangu na kusifia kizuri alichokifanya imekuwa nongwa!? Ila wewe kumsifia Steven Gerald ni sawa! PatheticHebu ishi maisha yako mswahili.
Unakomaa sana na maisha na mafanikio ya mtu ambaye hata hakujui kuliko tako na ya wazazi wako.
Sina mafanikio badoWewe nani anafurahia ya kwako ??
Au hina mafanikio, ??
Ujumbe alio kusudia kuuleta mleta mada ni kuhusu kujituma katika kazi na kuheshimu wateja na kuwaona kuwa wao ni wafalme. HAYO MENGINE NI YA KWAKO. KUMPONGEZA ANAYE FANYA VIZURI KWA JAMBO LOLOTE SI DHAMBI.Hebu ishi maisha yako mswahili.
Unakomaa sana na maisha na mafanikio ya mtu ambaye hata hakujui kuliko tako na ya wazazi wako.
Mwaka ndio unaanza badala ya kuwaza ya maana, mko husy na maisha ya watu mkimaliza mnasumbua watu kwa MIZINGA YA BUKU BUKU.
Tatizo la Jf kuna watu wanajifanya wana akili na wajuaji sana..ukimuuliza alifuata nini kwenye huu uzi atakosa jibu.Ujumbe alio kusudia kuuleta mleta mada ni kuhusu kujituma katika kazi na kuheshimu wateja na kuwaona kuwa wao ni wafalme. HAYO MENGINE NI YA KWAKO. KUMPONGEZA ANAYE FANYA VIZURI KWA JAMBO LOLOTE SI DHAMBI.
Mkuu hii imekuwa breakfast ya ubongo wangu kwa leo. AhsanteKUMPONGEZA ANAYE FANYA VIZURI KWA JAMBO LOLOTE SI DHAMBI.
He does not deserve even to be called MCOverated MC ,Acheni kazi ziongee zenyewe Promo za Nini?
Tangu mlezi apigwe chini misafara ya nje imeisha,tunabanana humu humu sasa.
titaelewana tu.
Kwa nini waafrika mnafikiria namna ya kumshusha mtu na sio kupanda ww juu na kumuombea na yeye azidi kupanda juu? No pleasure in failures of a brother. Ila kwa waafrika tuko kivingine kabisa.Msema kweli ni mpenzi Mungu Diamond Platnumz kumshusha si leo wala kesho, kijana ana nidhamu ya hali juu kwenye kazi yake. Kwa kile alichokifanya Dodoma si mchezo, anajua nini mashabiki wanahitaji na kwa muda gani na hali ipi. Kwa jinsi mvua ilikuwa ikinyesha angekuwa msanii mwingine hakuna shabiki ambaye angebaki na mvua ile.
Mvua seriously ilianza wakati anaperform Lavalava kwa ujumla kijana(Lavalava) alionyesha kulimudu jukwaa haswaa.
Mvua iliendelea kunyesha zaidi ndipo Simba alipoingia ili kuipa nguvu zaidi show. Ebhana mchizi ni powerful sn pia anaheshimu sn mashabiki zake.
Hongera kwenu Wasafi pia shukrani kwa mashabiki wenu ambao wako very loyal kwa lolote lile juu ya Wasafi & Bin Laden kwa ujumla
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
"Anaye kuchukia hata ukiwa unacheza kwenye maji atasema unamrushia vumbi". Jitahidi kupunguza chuki mkuu kwa mtu ambaye hata hakujuiTangu mlezi apigwe chini misafara ya nje imeisha,tunabanana humu humu sasa.
titaelewana tu.