Snitch2020
Member
- Aug 24, 2017
- 77
- 91
Ila zinalipa ukizitumia vizurisawa mkuu maana hizi team bongo balaa tu
Walikuja kwa nguvu ya soda sasa Wanaona aibuWameshindwa Ku control views za Kiba sasa hazitoi takwimu halisi. Wameingia chaka, division zero anapewa kazi ya propaganda na kijiblogi chake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] i bett umeenda youtube ukarudi kimyakimya.Walikuja kwa nguvu ya soda sasa Wanaona aibu
wao wanatoa kila week lkn mwenzao Katoa kamoja tu kwa mwaka wanalalama haoInabidi tumshauri Ali asitoe nyimbo kwa miaka miwili hivi maana akitoa wimbo inakuwa balaa namna hii