Kumsamehe aliyekusaliti

Nimekupata vizuri sana mkuu ushaur mzur saana kiukwel bado nampenda saana na yeye anaheshima saana hajawahi nionesha Ile dharau yaani Sasa sijajua huwa anapatwa nanini Paka anaamua kunisaliti

Kibaya zaidi Hua ananisaliti ambapo Hua hata hatupo katika conflict na waala nakua sijamkwaza

Inshort npo mkwel kwake 100% sijawahi mcheat muda wote na tuna five years

NB... Nampenda ila kila nkimuona na nkiifkilia yalotokea naumia sana
 
Habarini wana JF,

Hivi watu mlioko kwenye mahusiano ikitokea kakusaliti utamsamehe au utafanyaje? Na Je kuna watu ambao washawahi salitiwa na wakasamehe especially kama walikuwa wanawapenda sana wake zao?

Naombeni majibu wakuu
Baada ya msamaha aliyesamehewa anaanza kuwa na wasiwasi na aliyemsamehe.
 
Wengi huwa hawaachani pindi wakamatwapo bali huwa wanatafuta mbinu mpya ili wasikamatwe tena.
Kuachana mpaka mmoja achoke au afanyiwe udanganyifu lakini sio kuachanishwa na mtu mwingine.
 
Angalia sana isije ikakusababishia Magonjwa ya moyo sio hilo tu hata magonjwa ya zinaa na mengineyo kama anafanya kuwa ni sehemu ya tabia na hulka yake hakufai hata kidogo hilo ni tatizo kubwa sana.Unapomsaliti mapenzi lets say mume au mke akashuhudia na akasamehe nadhani huwa ni muda mzuri wa kutafakari,kutubu na kuujenga upya uhusino wenu kiimani lkn kama mtu anarudia yale yale hiyo ni sumu kali sana kwako kimbia mapema.
 
Nimekupata mkuu vizuri kabisa
 
Ngoja namm nisamehe tuuu basi hakuna namna Tena sjui nmpende zaidi ili aondoe Ile hulka yake ya kuzoea kusaliti
kwani una ushahidi tosha au unahisi tu? fuatilia background ya huyo anaetoka nae, labda walitengana sababu ya umbali tu na hivi sasa ndio karejea
 
kwani una ushahidi tosha au unahisi tu? fuatilia background ya huyo anaetoka nae, labda walitengana sababu ya umbali tu na hivi sasa ndio karejea
Wameanza Sasa hv miez miwil hv Sasa...na yy kanthbshia huyo jamaa
 
Mimi nahisi kama vile jamaa ameniendea kwa sangoma
 
Daaaah
Nimeipenda hii comment kupita maelezo,
Naona imebeba majibu ya maswali mengi sana aiseeh.
 
Acha uboya wewe utaendelea kuchapiwa wewe
 
je amekubali kuachana nae au? maana ukweli wa nan anaempenda zaidi upo kwa mwanamke
Kakubal kuacha kabsa na yuko Tyr kurud home maana kuna mahal alkua kaenda kwhyo kakubal kurud nyumban
 
kama ni kosa la kwanza nakushauri msamehe, ila ongea pia na huyo mtu wake mustakabali alio nao kwa mtu wako
Huyo jamaa kasema anaacha maana hata yy alkua hajui nae kachukia maana kadanganywa maana mwnamke alinambia Hana mtu kumbe anaye
 
Nobody is perfect kwa hio kulingana usaliti wenyewe kila binadamu anastahili nafasi ya pili...
kusamehe hua ni rahisi ila sasa kusahau ndio shinda...kama haupo tayari kusahau basi hta kusamehe utateseka sana mkuu...
lakini aliekutenda lazima awe tayari kuweka wazi yote na akili kutorudia hua usaliti..
baada ya kusamehe sleep wt one open mpaka uone mwenzio amebadilika kabisaa
 
Mwanaume anaweza kumwacha mke kwasababu amemfumania, lakini cha ajabu mwanaume huyohuyo anaenda kuoa mke alieachwa kwa kosa la kufumaniwa...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
yote sawa lakini kama kunahaja ya kusamehe hautakiwi kukumbuka yalio pita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…