Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,860
- Thread starter
-
- #61
Sasa mkuu ukikaa kimya kwamba unakua humsemeshi au???Kumbe umesalitiwa,, OK ni hivi mwanaume anaposaliti mara nyingi huwa kasaliti kwa tamaa tu ila mwanamke anaposaliti mara nyingi husaliti kwa mapenzi yaani kamkubali aliyekusaliti nae kuliko wewe.. Ila dawa na adhabu tosha nikusamehe tu na kukaa kimya tena unaongeza kumjali ila usiongelee kilichotokea wengine hujiongeza na kusepa wenyewe kwakuhofia kunakitu kibaya unaplan
Kwahyo bado wako nae Paka sahivi mkuu?Aiseeee Bro yangu moja ,, miaka ya nyuma kidogo , akitoka safari alimkuta mkewe na njemba kitandan.
Mbona aliishia kupiga mbwa risasi tu mbali na hasira na akamsamehe Demu wake ,mpaka Leo wako pamoja ..
Sema hili lishemu langu,
mwanangu ukiliona dooohhh ,lazima usisimuke mweeeee limejaaa balaaa ,paja pajaa sura sura ,jeupeeeeeeeeeeeee .
Kwa ufupi jibu LA swali lako linategemea mwenye Mali .
Hebu njbu mkuu shetta anasemaje kuhusu hiliMtafuta shetta.atakupa mbinu
Daah kwel wanawake ni ngumu sana kuwaelewa wanataka nnHujui kule kapenda nini hata kama hazina unamiliki wewe atatafuta sababu umpe gawio aende kutumia na huyo mwenzako yapo tumeyaona
Fundi mzuri anajua kujenga na kubomoa.wengi wanaendelea kuwa watumwa kwa kuogopa kugawana.Mkuu kama umewekeza nae sana inakuaje Sasa
Yaap wako pamoja Mkuu namaisha yako muruaa ...( aiseee yule demu aisee kumwaacha ,alafu ukafikiria kidume mwingine ndo anayenda kula nibora ukae tuu[emoji23] [emoji23] ) .Kwahyo bado wako nae Paka sahivi mkuu?
Na Je vp bado anatania Ile Ile?
Njemba wakat bro anapiga mbwa risas ,.naye huyooooo ndukiHiyo njemba ilipona kweli?
Yaan bado Ana tabia Ile Ile ya kuchepukaYaap wako pamoja Mkuu namaisha yako muruaa ...( aiseee yule demu aisee kumwaacha ,alafu ukafikiria kidume mwingine ndo anayenda kula nibora ukae tuu[emoji23] [emoji23] ) .
Wako pamoja kabisaaa mpaka Leo.
Swali lako lapili sijalielewa Mkuu?.
Daaah maneno kuntu na murua kabisaKama umeingia kwenye mahusiano naye sababu ni mzuri,hata ukimfumania utamsamehe sababu uzuri wake bado upo.
Kama umeingia kwenye mahusiano sababu ni msomi ,hata ukimfumania utamsamehe sababu vyeti vyake bado vipo.
Kama umeingia kwenye mahusiano sababu anapesa hata ukimfumania utamsamehe sababu pesa bado zipo.
Kama umeingia kwenye mahusiano sababu mpo dini moja utamsamehe sababu bado mpo dini moja.
Kama umeingia kwenye mahusiano unatafuta wa kuishi naye hata ukimfumania utamsamehe sababu unachotaka ni MTU wa kuishi naye.
KAMA umeingia kwenye mahusiano unaamisi sio msaliti ,hutoweza kuendelea naye sababu ni msaliti.Na wewe hukuwa unatafuta msaliti.
he/she is not your choice
Hapana siku izi wako sawa nahamna kesi km izo tena .....mwanamke ukimfuma ,ukamsamehe daaahhh akirudia basi ujue huyo niwale ambazo wanatabia ya kutaste Uume tofauti tofauti....yaan yeye hapitiwi na shetani.Yaan bado Ana tabia Ile Ile ya kuchepuka
Kila mwonja asali..........Mara ya kwanza namsamehe, akirudia sijui nini nitaamua.
I see you with "psychological torture"....hilo no swali na maamuzi binafusi....mimi nakushauri kama utaweza kulisahau msamahe kama Huawei achana nae kila jambo liba mwisho...Habarini wana JF,
Hivi watu mlioko kwenye mahusiano ikitokea kakusaliti utamsamehe au utafanyaje? Na Je kuna watu ambao washawahi salitiwa na wakasamehe especially kama walikuwa wanawapenda sana wake zao?
Naombeni majibu wakuu
Sawa mkuu nmekuelewa na n kwel kabsa ni psychology torture hujakoseaI see you with "psychological torture"....hilo no swali na maamuzi binafusi....mimi nakushauri kama utaweza kulisahau msamahe kama Huawei achana nae kila jambo liba mwisho...
Habarini wana JF,
Hivi watu mlioko kwenye mahusiano ikitokea kakusaliti utamsamehe au utafanyaje? Na Je kuna watu ambao washawahi salitiwa na wakasamehe especially kama walikuwa wanawapenda sana wake zao?
Naombeni majibu wakuu
Rafiki ukweli ni huu, Mwanamke (mke) ni rafiki yako namba moja pale tu haujangundua kama kachepuka au amekusaliti lakini kama akikisaliti na ukajua kwa ushahidi au mkiachana akaenda masimbe huyo ni adui yako namba moja yaani hata akiomba msamaha huku anatoka machozi ya damu.... wengi wamesukumwa na upendo na kijifariji kuwa amebadilika lakini leo hii wamejutia na hawana sababu ya kuwaacha tenaHabarini wana JF,
Hivi watu mlioko kwenye mahusiano ikitokea kakusaliti utamsamehe au utafanyaje? Na Je kuna watu ambao washawahi salitiwa na wakasamehe especially kama walikuwa wanawapenda sana wake zao?
Naombeni majibu wakuu
Mmmh... wewe endelea nae tu.Ni kwel mkuu vp kwa mfano mwnamke akakussliti mara ya kwanza akakili na akaomba msamaha yakaisha alafu baada ya muda Tena karudia Yale Yale Tena vp unaweza msamehe
NB : bado anakujali na heshima iko pale pale yaan hajabadilika kitu
Sasa mkuu kadi za benki za kwake ulizonazo na umiliki wa mapato yake ndio sababu inayokusumbua na kushindwa kutoa maamuzi au ni moyo wako na nafsi kutokana na kosa alilolitenda.Inaonekana upo interested na material things kuliko mapenzi na amani ndani ya ndoa yako. Inawezekana hii ikawa ni sababu kubwa ya mke wako kuchepuka,anakosa attention kutoka kwako. Sema na moyo wako kuhusu kumsamehe,je bado unampenda? Na mapenzi hayo uliyonayo kwake yataendelea kuwepo baada ya kumsamehe? Kama jibu ni ndio msamehe,kama ni hapana basi mwache aende kuepusha migogoro itakayotokea baada ya hili kujitokeza kati yenu. Acha kuwaza umiliki wa material things kwenye swala linalohusu hisia.Mfano huyu mwnamke kadi za benk zake Zote kanpa mm yaan hata hela yake hajawah toa yy bank kila mwsho wa mwez natoa mm na Nina mjali kwa vyooooote ila ndo hvo sjui nn tatzo na Hua anaanza kulia akikutwa na kosa