Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
Unampiga chini unatafuta mwanamke mwingine ....its very simple,unaweza ukamkabidhi Mali zako mtu mwingine kwa kumdanganya kwamba umeuza then ukimfukuza unachukua tena mali zakoSasa unafanyaje mkuu kama mtu unampenda saana na mmewekeza vtu vng sana nae
Msamaha unafaa kwa mtu anayetambua maana ya msamahaHabarini wana JF,
Hivi watu mlioko kwenye mahusiano ikitokea kakusaliti utamsamehe au utafanyaje? Na Je kuna watu ambao washawahi salitiwa na wakasamehe especially kama walikuwa wanawapenda sana wake zao?
Naombeni majibu wakuu
Kwa mfano sababu zipi?Inategemea na sababu zilizopelekea akanisaliti
Anaeza akasamehewa na maisha yakaendelea........
Mfano huyu mwnamke kadi za benk zake Zote kanpa mm yaan hata hela yake hajawah toa yy bank kila mwsho wa mwez natoa mm na Nina mjali kwa vyooooote ila ndo hvo sjui nn tatzo na Hua anaanza kulia akikutwa na kosaKuvumilia haikusaidii hivyo mlivyo wekeza anatumia mwenzio
Una maana Gan mkuuMsamaha unafaa kwa mtu anayetambua maana ya msamaha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Samehe ili ukichepuka ukifumwa umkumbushe kua na wewe ulimsamehe
Kifupi penzi haligawanyiki lazima lizidi upandeMfano huyu mwnamke kadi za benk zake Zote kanpa mm yaan hata hela yake hajawah toa yy bank kila mwsho wa mwez natoa mm na Nina mjali kwa vyooooote ila ndo hvo sjui nn tatzo na Hua anaanza kulia akikutwa na kosa
Dah kumsamehe aliyekusaliti mm kiukweli siwezi msamehe maana waswahili wanakwambia kumpa mtu nafasi ya pili ni sawa na kumpa ruhusa akuumize zaidi ila inategemea na mazingira ya usalitiHabarini wana JF,
Hivi watu mlioko kwenye mahusiano ikitokea kakusaliti utamsamehe au utafanyaje? Na Je kuna watu ambao washawahi salitiwa na wakasamehe especially kama walikuwa wanawapenda sana wake zao?
Naombeni majibu wakuu
Hamna wanawake ndo wanaongoza kusamehe,Hahaha me naona wanaume tunaongoza kusamehe tukisalitiwa tofauti na wanawake wa gumu mno kusamehe
Ngoja namm nisamehe tuuu basi hakuna namna Tena sjui nmpende zaidi ili aondoe Ile hulka yake ya kuzoea kusalitiNdio nitasamehe.Ndio wapo na wanapendana sana
TrueNilikuwa nikisamehe kipindi cha nyuma. Based on my experience ukimsamehe msaliti,lazima arudie tena,only this time kwa kujificha.
My rule ni kwamba aki cheat, game over.haijalishi tunafunga ndoa kesho.
Mazngra mara ya kwanza tulvokua pamoja na mara ya pili tulkua distance kidogo kwa muda wa miez mitatuDah kumsamehe aliyekusaliti mm kiukweli siwezi msamehe maana waswahili wanakwambia kumpa mtu nafasi ya pili ni sawa na kumpa ruhusa akuumize zaidi ila inategemea na mazingira ya usaliti
Mkuu kwel????Hamna wanawake ndo wanaongoza kusamehe,
Sasa sijaelewa hebu dadavua mkuuKifupi penzi haligawanyiki lazima lizidi upande
Kumbe umesalitiwa,, OK ni hivi mwanaume anaposaliti mara nyingi huwa kasaliti kwa tamaa tu ila mwanamke anaposaliti mara nyingi husaliti kwa mapenzi yaani kamkubali aliyekusaliti nae kuliko wewe.. Ila dawa na adhabu tosha nikusamehe tu na kukaa kimya tena unaongeza kumjali ila usiongelee kilichotokea wengine hujiongeza na kusepa wenyewe kwakuhofia kunakitu kibaya unaplanMfano huyu mwnamke kadi za benk zake Zote kanpa mm yaan hata hela yake hajawah toa yy bank kila mwsho wa mwez natoa mm na Nina mjali kwa vyooooote ila ndo hvo sjui nn tatzo na Hua anaanza kulia akikutwa na kosa
Hiyo njemba ilipona kweli?Aiseeee Bro yangu moja ,, miaka ya nyuma kidogo , akitoka safari alimkuta mkewe na njemba kitandan.
Mbona aliishia kupiga mbwa risasi tu mbali na hasira na akamsamehe Demu wake ,mpaka Leo wako pamoja ..
Sema hili lishemu langu,
mwanangu ukiliona dooohhh ,lazima usisimuke mweeeee limejaaa balaaa ,paja pajaa sura sura ,jeupeeeeeeeeeeeee .
Kwa ufupi jibu LA swali lako linategemea mwenye Mali .
Hujui kule kapenda nini hata kama hazina unamiliki wewe atatafuta sababu umpe gawio aende kutumia na huyo mwenzako yapo tumeyaonaSasa sijaelewa hebu dadavua mkuu