Loooooooh!!! Kumbe wadada hamna huruma!Kama nafsi yako inasema basi afadhali iwe basi huruma hai khusu hapo,muhimu wacha abakie kua mzazi mwenzio,usinywe
Sumu kwa mkono wako....
Huna haja ya kumrudia kwasababu ya huruma yako kwake ilihali humpendi....
Wewe mueleze tu haiwezekani, ataumia kidogo lakini atarecover soon,kuliko umrudie kwasababu ulizozitaja then aumie maisha yake 98% yawe majuto....
Inategemea ni huruma gani na katika mazingira ganiLoooooooh!!! Kumbe wadada hamna huruma!
Mkuu hadithi siku hizi hamna? Nliipenda sana ile ya JasmineUsije ukajaribu kuishi na mwanamke kwakua tu eti unamuonea huruma aiseeee.....
Yatakayo kukuta hautakaa usahau katika maisha yako yete.
Kumbuka ukimuhurumia utaishinae pasipo mapenzi ya dhati, na hili litakutesa for the rest of your life.
Apana amesema anamuonea huruma is he serious!!! alivy mfanya anajua mwenyewe sasa ili asinywe sumu manake atamfanya vibaya akimrudia na hatopenda mwanamke mwengine,sasa ili asiumie bora iwe basi,kwanza he is only 40..Loooooooh!!! Kumbe wadada hamna huruma!
Masika hii mkuu, shamba limekaba hata sihemi aiseeee...[emoji1]Mkuu hadithi siku hizi hamna? Nliipenda sana ile ya Jasmine
Hahaa pole mkuu ukimaliza basi shambaMasika hii mkuu, shamba limekaba hata sihemi aiseeee...[emoji1]