Heri ww Dada yangu Mimi hapa na mwezi apokei cm wala kunijibu text huyuu mwanamke kanifanya niwe chizi kazini.ila nimeapa mwanamke ataisoma namba kwenye maisha yangu. Nimetoka job nimeingia kulala.Eee Mungu anisaidie nivuke hili Salama.Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Yaani haya mapenzi ni ya ajabu sana, kuna mtu nampenda sana ..kwakuwa anajua nampenda basi ndiyo ananinyanyasa kweli..
Nimekuwa mtu wa kulia tu...
Jana nimemkuta na msichana mwngine tena nahisi atakuwa bado mwanafunzi nikajifanya sijaona nikageuza haraka na kurudi home, nikijua atarudi home tuyaongee lkn mpaka hivi ninavyoandika hajarudi tangu tuonane ile Jana.
Nikipiga simu haipokelewi..nateseka sana jamani....msaada please ila mapenzi yanaumiza sana..
Jitahidi basii ma darling,. Hebu anza kidogo kidogo.Yaani kuweza naweza japo nilimuweka moyoni sana
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuuYan una vithibitisho vyote kuwa hana mpango na ww lakini...et unasema unampenda...acha kujiendekeza... stay strong & positive... huu ulimwengu wa sasa ..inabidi uwe mtu makini xana...na inapobidi ...ufanye maamuz magumu..kwa kunusuru maisha yako