MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,122
Kuna possibility the guy akaja kumreplace Mulongo wakati wa changes za wakuu wa Mikoa, I think hiyo ni entry point tuWakuu habari,
Nimejaribu kujiuliza sababu za mh. Rais JPM kumpelekea Mulongo RAS aliyetoka kwenye jeshi la polisi tena aliyekuwa Ofisa wa ngazi za juu kwenye jeshi hilo, lakini sijapata jibu, kwa hiyo nimeona niwekeke hapa ili tujadili kwa kuwa najua kuwa humu kuna watu wenye akili sana. Asanteni
Hatuwezi kumaliza ajira kwa nafasi za kisiasa. Ajira ziko mashambani na viwandaniCCM ni ile ile haitabadilika hata Malaika akitua hapo. Magufuli kama Kikwete tu yaani kuna shida ya ajira wasomi wenye madigrii (degree) wanauza Mpesa na vocha za simu. Watu wamefanya Kazi miaka 30+ amefikia muda wa kustaafu (miaka 60) unampa kazi nyingine yenye cheo Katibu wa mkoa (RAS) hi si sawa.
CCM ni ile ile haitabadilika hata Malaika akitua hapo. Magufuli kama Kikwete tu yaani kuna shida ya ajira wasomi wenye madigrii (degree) wanauza Mpesa na vocha za simu. Watu wamefanya Kazi miaka 30+ amefikia muda wa kustaafu (miaka 60) unampa kazi nyingine yenye cheo Katibu wa mkoa (RAS) hi si sawa.
Mkuu sijakuelewa una maana ganiPoint of correction! Paul anakuwa katibu tawala wa mkoa siyo katibu mhutasi wa mkuu wa mkoa!
Ukifikia CHEO cha kamishna Rais anaweza kukuteua nafasi yyote atakayoiona inakufaa angalia huko nyuma tulishakuwa na Brigadier Gen Kayombo alikuwa DC SASA USISHANGAE KUMBUKA NDOMBA ALISHAKUWA PIA MKUU WA MKOA, GEN KALEMBO, GEN KIWELU, ADAD RAJABU BALOZI NA WENGINE WENGI KWA HIYO ISIWE TATIZO KWAKO NI MAMBO YA KAWAIDA MKUU WA WILAYA YA MUSOMA ZELOTHE STEPHEN NI SACP-SENIOR ASSISTANT COMMISSIONER OF POLICEWakuu habari,
Nimejaribu kujiuliza sababu za mh. Rais JPM kumpelekea Mulongo RAS aliyetoka kwenye jeshi la polisi tena aliyekuwa Ofisa wa ngazi za juu kwenye jeshi hilo, lakini sijapata jibu, kwa hiyo nimeona niwekeke hapa ili tujadili kwa kuwa najua kuwa humu kuna watu wenye akili sana. Asanteni
Mkuu Chagonja kaenda KataviHiyo combination ya Mulugo na Chagonja sijui itakuwaje. Kama Faisal alimpiga chupa ya maji huyu RC sasa tutegemee RC kutandikwa mikanda na mitama na Chagonja kama ataendeleza tabia zake za dharau.
KweliMkuu Chagonja kaenda Katavi
Mwanza yupo CP Mtweve
OK nashukuru mkuu kwa kunielimishau
Ukifikia CHEO cha kamishna Rais anaweza kukuteua nafasi yyote atakayoiona inakufaa angalia huko nyuma tulishakuwa na Brigadier Gen Kayombo alikuwa DC SASA USISHANGAE KUMBUKA NDOMBA ALISHAKUWA PIA MKUU WA MKOA, GEN KALEMBO, GEN KIWELU, ADAD RAJABU BALOZI NA WENGINE WENGI KWA HIYO ISIWE TATIZO KWAKO NI MAMBO YA KAWAIDA MKUU WA WILAYA YA MUSOMA ZELOTHE STEPHEN NI SACP-SENIOR ASSISTANT COMMISSIONER OF POLICE
HahahaaaaaaHiyo combination ya Mulugo na Chagonja sijui itakuwaje. Kama Faisal alimpiga chupa ya maji huyu RC sasa tutegemee RC kutandikwa mikanda na mitama na Chagonja kama ataendeleza tabia zake za dharau.
kwan hao umeambiwa wamestaafuKwani Ni NCHI Inayoongozwa Kijeshi!!!?? SASA Ikiwa Hata Ma -RAS Tu, WANATEULIWA WASTAAFU Wa Jeshi La POLISI Na JWTZ Au JKT!!! Ni Tatizo KUBWA!!
HahahaaaaaRais alimweka huko kwa sababu nafasi ilikuwa wazi. lakini kwa bahati tu mkuu wa mkoa atatahadhari zaidi kwa huyu RAS mpya.. kwa upande mwingine atakuwa na tabia ileile kwa wengine.