wanaume tukiamua kukuacha tunaacha bila hata wakati wa kugegedwa ukakata viuno vizuri
tutauliza umejifunza wapi toka nenda huko huko walipokufundisha sikutaki
Mwanaume anataka kuheshimiwa na kusikilizwa tu hayo mengine yatafata, dharau, kejeli na majibu yasiyo na vichwa wala miguu huwa yanaaribu mahusiano na kumfanya mwanaume atafute mahali penye usalama na amani na heshima basiii...,
Na pia utulivu wa mume ktk mahusiano ni mtu na tabia yake,aliezoea kua player atabakia player,japo ninaamini mwanamke anauwezo wa kumbadilisha mwanaume atakavo,kama alikua player ataacha,kama alikua mlev ataacha,kuna tricks nyng za kuzifanya kumfanya mwanaume asitazame tn nje,na watu wakadhani umemroga.bali mapenzi tu na jinsi ya kucheza na hisia na akil ya mwanaume kwa kutumia maneno na vitendo