andika mkataba kuwa ukimnunulia lazima uishike, muweke na saini zenu, asante!
utawasiliana nae vipi usipomnunulia?
Hahahahahahhahahahahahahaha atakayekiuka na apigwe tu maana hamna namna nyingine sasa
Wanajamii, nina mpenz wangu yapata mwaka mmoja sana, nilikuwa na tabia ya kushika na kuangalia cm ya mpenz wangu, ilifika wakati akanikataza nisishike tena cm yake kila mtu abaki na yake, saiv cm yake ameibiwa anaomba nimnunulie cm nyingine, sas mim najiuliza nitamnunuliaje cm wakat yeye hataki mm nishike cm yake? ushaur wenu jamani.