Alibino
Senior Member
- Jul 1, 2016
- 150
- 334
Wana jamii hili suala la kumleta mchungaji janja janja kama Hananja ni dalili za kupotea na kutokujua unachofanya.
Let be honest ivi kweli mtu unamleta mchungaji Hananja ndo aje kuombea ufunguzi wa kampeni au Mwamposa kweli iyo inaingia akilini? Hizi ni dalili za wazi Rais kapotea ndo maana washindani wake wengi hawana ushindani