Kumlazimisha Nassari kuomba radhi ni bora zaidi kuliko kumtetea!

Watu wengi hawajapata kuisikia kauli ya Joshua Nassari iliyoleta gumzo nchi
[video=youtube_share;1fPJYAeUy-4]http://youtu.be/1fPJYAeUy-4[/video]
Nadhani dogo kateleza kidogo, kauli hii haina afya nzuri kwa CDM
 
Hahaha M4c itawatoa roho nyie. Nasari ni jembe ww na huo ni upepo 2 utapita. Vua gamba vaa Gwanda.
 
Magamba wanahaha kweli . Hawana sera tena na wanasubiri tu chadema waongee neno then walitafsiri vibaya. Shenz hawa na tutawamalizia 2015
 
Mi naona yupo sawa tu!!, hajakosea kitu!!, Sababu kifikra MAGAMBA ndivyo wanavyofanya kazi!!.
 
We uliyeleta uzi huu kama una mke muulize ata mke anampenda Nasari katika familia yako umebaki wewe tu tafakari chukua hatua utachelewa shauri yako hayo majungu hayakupeleki popote, ili jahazi linasonga haligeuki.
 
Hakuna mtu mzima mwenye akili timamu anaweza kuamini for a minute kuwa Nassari anataka watu wa kaskazini wajitenge! Binafsi napinga kabisa. Ni kauli ya kitoto, pengine ni munkari na mbwembwe za kisiasa lakini kamwe sio mkakati wa kujitenga.

Yes, si kauli ya kuungwa mkono hata kidogo na mwenyekiti wake aliitolea maelezo pale pale na sasa Nassari mwenyewe amefanunua, ifike mahali sasa for people to grow up na deal with bigger challenges and not some petty petty issues.
 
Mkuu kwako wewe big issue ni ipi..,ficha upumbavu wako.,hekima ikukomboe...!
 
..... kisha akasema, ....ninawahusia mchunge kauli zenu, ..........akaendelea......maneno yakishatamkwa.........

kisha akatuaga na tukamtakia safari njema.

Siku nyingine tena tukiwa tumeketi nae, akasema... ndugu zangu....Kuna viungo viwili anavyo binadamu......... laiti kama mtavichunga..........

tukamuuliza ni viungo vipi hivyo mtukufu? ...........Akanyamaza kisha akasema.....ni kile kilichopo baina ya taya mbili, na kile kilichopo baina

ya mapaja mawili............,

Kisha akanyanyuka na kutuaga.

By tume ya katiba.
 
Mbona zenji kila siku wao ndio nyimbo zao na hakuna anayewalazimisha kuomba radhi?

zenj hailingani na kandana ya kaskazini ww.zanzibar ni nchi kamili ina serekali yake,mahakama na chombo cha kutunga sheria,rais,bendera na wimbo wa taifa wake. Kama nassari kakosea au kapatia angalieni katiba yenu kama mnayo inasemaje? .
WZANZIBAR MUUNGANO NA TANGANYIKA HATUUTAKIII
 
nimesikiliza kachemka kijana !! anaapa kabisa haki ya mungu...
 
[h=6]Nadhani tunahitaji kuvumiliana lakini bila ya kuyarudia makosa, huku mioyo yetu ikiziachia akili zetu jukumu la kufikiri na kufanya maamuzi.
Tunahitaji sana busara ya kusubiri yaani kufikiri kabla ya kuongea, tuepuke kutumia mtindo wa kughani mashairi, vinginevyo jitihada zote zitakuwa ni kazi bure.
Kwa kumalizia tu, napenda kuasa kuwa kauli kama hizi si za kujirudia tena.
[/h]but how could a mp be such an idiot...?
 
Mkuu JMushi nakuunga mkono.

Cha muhimu sio matamshi ya Nasari hicho ni kitendo tuu, the motive behind and underlying factors zina justfy kauli ile ni kwa lengo la kuhamasisha na sio kwa lengo la kuvunja nchi!.

Mimi nilioa nikiwa kijana sana na nilioa mwana habari mwenzangu tuliekuwa class mates chuoni. Baada ya kuona jinsi wake za watu wanavyotendwa kwenye media nikampiga mkwala kuwa siku nikisikia na wewe unayafanya hayo be it na mabosi au sources, mimi naua!.

Lengo la statement lilikuwa ni mkwala tuu to be on her guard. Yeye alinishikia bango eti nimemtishia kumuua!. Sikuomba msamaha mpaka kesho and the rest was history!. Unasimama na unachoamini no matter what!.

Vivyo hivyo kwa Nasari kwa vile the motive behind sio kuvunja nchi bali kujenga hamasa, lazima asimame imara na good faith yake!. Hakuna kuomba radhi wala msamaha!. Sasa sana labda afute tuu kauli kwa vile imeeleweka vibaya ila ujumbe ni valid na genuine!.
 
kabla huyu mzee mganga hajafa aliwah toa kauli Nzito na mbaya kwa taifa linalo amini uhuru wa watu kujitawala.
Kauli yenyewe"Mtu yoyote ambae atachukua form ya kugombea Uraisi na kushindana na aliepo ATAKUFA" Tena kwenye vyombo vya habari.
Je police mliwahi kumuhoji huyu mzee kwa kauli yake hyo.

Ikulu kupitia kurugenzi ya mawasiliano walisema ni Maoni yake kwanini hili tamko la NASSARI kuonekana baya zaidi?

Kama si kumpa umaarufu tu huyu dogo,Kauli za magufuli nazo huwa za uchochezi mbona hamjawah kumuhoji.
Mytake-kamateni wahujumu uchumi maneno hata kwenye kanga yapo.Nassari mtu mdogo sana katika nchi.Potezeni muda kulinda rasmali za watanzania
 
Ni sawa kabisa haya ni maneno tu tena ya kawaida tatizo la hawa watawala wa leo hawana la kuwaambia wananchi wamebaki kufuatilia kinachosemwa na cdm ndiyo warukie hapo wakomae nacho kupotezea madudu yao ila kwa hapa tulipofikia haipotezeki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…