Kumkumbuka Mary Shoo

Ni sawa kabisa kutujuza . Kwa viwango vyetu eti kwetu Tanzania huyo mama ni celebrity, ingekuwa UK angepewa cheo pengine angeitwa Baroness , lakini kwetu celebrities ni WEMA NA MWENZIWE SINTA.
 
So sad,hiyo inaonyesha ni jinsi gani ujambazi umekithiri katika jamii yetu.Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanakatisha watu tamaa kujiajiri kwani unajua siku moja pesa yako itakumaliza.Ndio maana Mungu anatuadhibu watanzania kupitia Ajari za magari,meli n.k
 

oooh lord mwanga wa milele umpe ee bwana
lubazi umenishtua wiki moja iliopita nilimpandisha ndugu yake mmoja lift frm banana akasema anaenda masaaki nikamwambia na m naenda huko huko nikamuliza kwema akasema ashangazi yake amepugwa na majambazi na kuibiwa hela nyingi tu aziehasibiki..jamani loh na amekufa na presha ya hizo hela maumivu awakumuumiza sana yule mama alijijenga ajamani mwanae nasikia alikuwa nje kapata jamaa wa kimarekani ana njugu kama nyota za angani akamwambia mamake asihangaike sana sa na juu yake yeye ashakabidhiwa nyumba kadhaa usa ajisaidie mwenyewe huku akimpa tafu loh..masikini dada pam polen sana sana
 
alikuwa mfano wa kuigwa kuwa alikuwa mfanyabiashara mwanamke aliyefanikiwa kwa jitihada zake hasa ikizingatiwa sio rahisi kwa tanzania ya leo mwanamke kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kama chake

kuiga kuweka hela zote hizo hom...? achen huruma za kishenzi bana......! !
 
R.I.P. mama mwenzetu uliyeweza kukaa na mahela yote hayo ndani.
 
Tsh 1Bn cash ndani ya nyumba? Dunia ya leo? Hata kwa dunia ya kwanza hiyo ni pesa nyingi sana kuwekwa ndani tu. Mafanikio yako ndio anguko lako RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…