Yaani JK bana kiboko, kawapa kisogo EAC sasa Mtanzania ndio boss wa SADC. Kazi wanayo majemedari wa EAC na hatma yao, hii ndio Tanzania bana.
JK anazidi kuweka historia kidiplomasia, katika awamu yake tumeshuhudia Augustine Mahiga akiongoza Somalia huku akiwa ndie mjumbe maalum wa UN pale, tumeshuhudia mama Tibaijuka akiwa juu kabisa katika UN-Habitat, tumeshuhudia mama Migori (japo alivurunda) akiwa ni 2nd in command katika UN yaani deputy secretary general.
Hongereni watanzania wenzetu, ipeperusheni vema bendera ya nchi yetu.
Angekuwa na jina la Byarugaba na rangi nyeusi angekuwa Mnyarwanda ila kwa kuwa nyie watanzania ni limbukeni mmezuzuka na rangi mnamvika Utanzania
Iam half American half Tanzania kwa hiyo nipo kati kati baharini ya Atlantiki
Yaani JK bana kiboko, kawapa kisogo EAC sasa Mtanzania ndio boss wa SADC. Kazi wanayo majemedari wa EAC na hatma yao, hii ndio Tanzania bana.
JK anazidi kuweka historia kidiplomasia, katika awamu yake tumeshuhudia Augustine Mahiga akiongoza Somalia huku akiwa ndie mjumbe maalum wa UN pale, tumeshuhudia mama Tibaijuka akiwa juu kabisa katika UN-Habitat, tumeshuhudia mama Migori (japo alivurunda) akiwa ni 2nd in command katika UN yaani deputy secretary general.
Hongereni watanzania wenzetu, ipeperusheni vema bendera ya nchi yetu.
kupewa ukatibu mkuu wa sadc , hakuhusiani na kutaka kujitoa eac, bali ni zamu ya tanzania kutoa katibu mkuu.
Tibaijuka alikuwa Habitat hata kabla ya JK kuingia Ikulu.Yaani JK bana kiboko, kawapa kisogo EAC sasa Mtanzania ndio boss wa SADC. Kazi wanayo majemedari wa EAC na hatma yao, hii ndio Tanzania bana.